Baba wa miaka30 abaka kitoto cha miaka minne

bamwaiche

Member
Aug 30, 2011
50
95
Wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha Patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo bwana alikuwa akikilaghai hicho kitoto kwa kukipa zawadi ndogondogo. Wadau hayo sasa ni mapenzi au ujinga. Binadamu wa namna hii nafikiri uwezo wake wa kufikiri uko chini ya ule wa kuku hapa nina maanisha IQ yake.
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,497
2,000
haya mambo wakati mwingine huwa yanaendana na imani za kishirikina kama ilivyotokea kwa Babu Seya... baada ya kusoma article moja nikaja nikagundua yule Babu Seya kile kitendo alikifanya kabisa anayetaka prove naweza kumpa
 
Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
1,195
Huyo IQ yake inaweza fanana na ya ccmizi,mwache akakutane na wabakaji wenzie huko segerea then atahadithia km mganga wake ndio alimtuma au alimuona yule mtoto umri wake ni sawa na mkewe.
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,736
0
Hivi hayo maeneo ya kigogo kuna nini jamani? Khaa! Sasa huyu baba sijui familia yake anaiachaje jamani, aibuuuu!
 
lolyz

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
338
250
Its a shame sio kubaka tu amemuambikiza na magonjwa ya zinaa, EEMungu tusaidie na tuokoe na kizazi hiki .Inauma na inachanganya jamani,pole kwa mtoto na wazazi aliyekutwa na haya mambo.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,648
2,000
Yaani tunakoelekea siko kabisa, sasa kitoto cha miaka 10 kuna starehe gani?? Anyongwe tu huyo....
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,648
2,000
haya mambo wakati mwingine huwa yanaendana na imani za kishirikina kama ilivyotokea kwa Babu Seya... baada ya kusoma article moja nikaja nikagundua yule Babu Seya kile kitendo alikifanya kabisa anayetaka prove naweza kumpa
Niko interested na hapo kwenye blue, do the needful..
 
Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
195
huwa najiuliza sana kweli hata kuingia inaingia kweli jamani ukikosa si bora ufanye musterbation shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit
 
charndams

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
437
225
mimi nikimpata mbakaji, haijalishi ni mtoto au kabaka mtu mzima, tunamalizano hapo kwa hapo. nauvunja mkataba wake na maisha (only if i have concrete reason to believe sio grudge kutoka kwa aliyebakwa kama mtu mzima ila kwa mtoto hata sitafikiria).
 
GABOO

Senior Member
Apr 11, 2011
118
0
Adhabu ya huyo baba nikukata hiyo kitu yake,alafu mnamwacha akafie mbali,ili iwe fundisho kwa wengine wenye akili za kishetani kama zake.
 
Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,231
0
wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo bwana alikuwa akikilaghai hicho kitoto kwa kukipa zawadi ndogondogo. Wadau hayo sasa ni mapenzi au ujinga. Binadamu wa namna hii nafikiri uwezo wake wa kufikiri uko chini ya ule wa kuku hapa nina maanisha iq yake.
huyu atakuwa mkristo
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,121
2,000
Wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha Patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo bwana alikuwa akikilaghai hicho kitoto kwa kukipa zawadi ndogondogo. Wadau hayo sasa ni mapenzi au ujinga. Binadamu wa namna hii nafikiri uwezo wake wa kufikiri uko chini ya ule wa kuku hapa nina maanisha IQ yake.

Mbona kichwa ch habari miaka minne hlf kwnye maelezo miaka kumi .......aroo unaridanganya rijamvi?
 
ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,121
2,000
ngoja niitafute hiyo article then nitakudondoshea lakini inabidi usome kwa utulivu na umakini mkubwa sana

Kumbe article!! mi nlijua umeona kw macho yako kumbe umesoma! acha upuuzi ww amini unachokiona cyo unachokisoma ........ hlf acha kushuhudia visivyokuhusu! ooh! "babu seya ni kweli alibaka" alibaka! ulibaka nae? griiiiiii*"!#,*"¥
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Huyo IQ yake inaweza fanana na ya ccmizi,mwache akakutane na wabakaji wenzie huko segerea then atahadithia km mganga wake ndio alimtuma au alimuona yule mtoto umri wake ni sawa na mkewe.

Hapo kwenye Bold pamenitisha sana mwanangu....................lakini nimeelewa ulikuwa unamaanisha nini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom