sex with bf/gf soon before marriage with someone else

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,854
1,248
Kuna tukio moja nimeliona hivi karibuni hapa mtaani kwetu, kuna dada mmoja alikuwa ana bf wake wa siku nyingi sana na ikatokea yule dada anachumbiwa na mtu mwingine kabisa na ana nia nzuri ya kumuoa awe naye maishani hivyo akavishwa pete na kufuata taratibu zote ili amuoe(Sijui km alishaachana na bf wake au la).

Cha ajabu ile Usiku wa kuamkia siku ya harusi yule dada alikuwa kwa bf wake (Sijui alikuwa anampa cha "kuagia" au cha "mwishomwisho") hadi mchana wa siku ya harusi, ndugu wa dada walikuwa busy kumtafuta kwenye ile saluni kwa ajili ya picha na video kama ukumbusho na kama mida ya saa nane mchana ndo anaonekana na watu wote walipomuuliza ulikuwa wapi hatoi jibu sahihi anajiumauma hivyo akapambwa special kwa harusi ya saa kumi ya alasiri ya siku hiyo.

Ninachojaribu kujiuliza je ni sahihi dada/kaka kupata cha "kuagia" (yaani kudo na exbf au xgf soon before marriage with someone else) au ndo kwenda na wakati huku. Ninaomba wadau tuchangie manake kuna possibility kubwa huyo dada akashika mimba ya xbf na kumsingizia ni ya mme wake (Lakini kama hawakutumia condom).

 

utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Ndo nyakati tunazoishi leo, hakuna morality kabisa, hii si habari ngeni kwangu. Nishasikia visa viwili vya kweli vya namna hii
 

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
113
huo ni ushetani 2,ndo mana mwana FA aliimba! sasa hapo huyo dada ndo njia ya shetani kwenye hiyo ndoa, dah inawuuma!
 

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
wanaamua kuolewa kama kuolewa au kuoa lakini hawafikirii nini na kwa nini ... ndo maana unafikiria kuagana na mpenzio imagine mnagundulika ndoa inasitishwa huyo mliyeagana naye atakusaidia nini?
 

Cantalisia

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,223
2,902
Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.
 

Ngo

JF-Expert Member
May 25, 2010
284
50
Cantalisia; Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.

Cantalisia; Hivi wewe kama mwanamke X-BF wako anaweza kukulazimisha utoke kwenu kwenda kulala naye? Sioni tatizo la huyo BF wake hapa bali tatizo ni kwa huyo aliamua kukubali kuolewa na mtu mwingine akiwa bado ana mapenzi mazito kwa huyo x-BF. Mbaya zaidi kesho unaenda kufunga ndoa bado tu unalubuniwa kwenda kulala na X-BF wako, wewe siyo mtoto mdogo kutojuwa hiyo tabia haikubaliki hata kwa shetani....Sasa hicho kiapo unachoenda kukiweka mbele ya Muumba wako kinakuwa na maana yoyote? Badala ya kukaa na kumwomba Mungu akujalie ndoa yenye furaha na upendo wewe unakaa ukimuwaza X-BF wako, inatia kinyaa hiyo tabia.

 

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,838
1,699
mnh umesema watu walipotaka kumpamba hawakujua alipo,imekuwaje wewe ukajua? alikuambia? au wewe ndio boyfriend mwenyewe mla vya watu?
 

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,018
706
Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.
kosa lipo kwa gel,kwani mambo yangesanuka, mpotezaji angekuwa ni yeye. ina maana wewe hata kama watu
wanajua ni wa mtu wakikutokea unawakubalia? (samahani lkn nakutania)
 

Kampini

Senior Member
Jul 15, 2011
140
28
Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.

Mwanamke lazima asiepuke lawama maana ktk scenario hiyo mwenye maamuzi ni yeye,akigoma kupigwa mpini hapigwi,akiukaribisha mpini anapigwa as usual.
 

utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
na hii kama ni kweli ni zaidi ya unyama.

Mkuu by the way katika kimoja kati ya hivyo visa viwili mhusika wa kiume alikua ni rafiki yangu kabisa. Walifanya ngono wiki ya harusi. Nikabaki naduwaa huyo dada muolewaji anahangaika na nini na mtu asiye na future nae?
 

shosti

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
4,914
1,497
kinaitwa cha kuagana hicho....wenyewe wanakuambia kinakuwaga makini usipime!
 

Patriote

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
1,718
1,046
Ndoa za vijana wengi siku hizi zimekuwa tu kama fashion. Vijana wengi wanaingia kwenye ndoa bila mapenzi ya dhati kwa wenzi wao au wanaingia kwenye ndoa ili kuiridhisha jamii inayowazunguka na wazazi. Kutokana na hali hii, ndoa nyingi zinatawaliwa na vituko vya kila aina.
 

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
5,613
Labda alilazimishwa kuolewa na mtu asiyempenda! Hapo hata hawajaagana ndo kwanza wamefungua kurasa nyingine!
 

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
Baada ya wk 2 unaambiwa msichana mjamzito ukifuatilia c mimba ya mumewe ila n ya exboyf wake,lkn mume wala afahamu yakuwa c yake ila ni kupokea hongera na sifa 2.
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,854
1,248
mnh umesema watu walipotaka kumpamba hawakujua alipo,imekuwaje wewe ukajua? alikuambia? au wewe ndio boyfriend mwenyewe mla vya watu?

Naomba unitake radhi, hili limetokea mtaani kwetu na ni family friend wa hiyo familia ya dada hivyo katika kupiga stori na wadogo za huyo dada ndo wakanipa hii stori.
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,854
1,248
Labda alilazimishwa kuolewa na mtu asiyempenda! Hapo hata hawajaagana ndo kwanza wamefungua kurasa nyingine!

Hakulazimishwa cz ni dada mwenyewe ndo alimtambulisha kwao kama mchumba wake (yule muoaji) kwa wazazi yule bf hajawahi kutambulishwa kwa wazazi ila kaka zake na baadhi ya wadogo zake wanamfahamu cz yupo nae kwa muda sasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom