Weekend TAMUUUUUUUUUUUUUUUUU....!!!!!!!!!!

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
481
Wapwaz na Mabinamuz!

Jamani week-end hii ni tamuuuuuuuuuu..... kwanza imeangukia mwisho wa mwezi

1. Bar zote leo zitajaa sababu ni mwisho wa mwezi hela ipo ya kutosha2. Gestihausi zote zimejaa sababu hali ya hewa inaruhusu na mfuko umejaa.... kuanzia sasa ukiingia mtaani kutafuta gestihausi unaambiwa
zimejaa ingawa waliojaza ni wenyeji!

Nawatakia week-end njema!
 
labda kwa wenzako mliologwa nao..........wengine ni muda wa kupanga bajet y amwez mzima ujao,,kutafakari jinsi mwaka unavyopukutika na kuangalia wapi nimepunguza speed niongeze ili wakt mnakumbushana dec mwaka umeisha mi nakenua zangu na Noah to Maranguuuu................

Ni wkat pia wa kukaa sehemu tulivu na watu ninaowaamini karibu kbs na nyumbani kujadili mambo mbalimbali yanayoikabili nchi yangu na maisha yetu kwa ujumla..............

Kwa vile sitakua n ahangover ;kesho nitaenda shamba kucheki maendeleo ya site (ukizingatia mvua zimenyesha leo almost TZ nzima)....kisha nitajiandaa kusali jumapili na ratiba nyingine kama hizo..
 
hiyo ni shubiri ndugu yangu.................................katikati ya mwezi skuli fizi, tanesco, maji, mlo.......................vitadai vitendewe ubinadamu achilia mbali Muumba ambaye ndiye breki ya yote................
 
wikiendi ni siku yangu na wife. sitaki bugudha za wanaume eti twende baa sijui wapi. simu iko off, msinitafute
 
Back
Top Bottom