Hivi hii nayo ni sababu wajamen? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii nayo ni sababu wajamen?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Sep 30, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Hello jf!!eti kuna galfriend wangu kanambia ''its Over'',kisa nina wk moja cjamtafuta kwenye cmu,wajameni hii ni sababu ya wa2 kuachana kweli?infact ye mwenyewe hajawah ntafuta,wala hata hajataka kuulza ukimya wangu ulikua ni kwa sababu gani,ye kanambia 2achane 2,hadi sa hzi cjamjbu chochote,je naweza ku2mia maneno gani ya busara kumwelewesha wakuu??
   
 2. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  mkuu hapo ulikuwa unatafutiwa sababu siku nyingi kwan inaonyesha mapenz yalishapotea siku nyingi. Najua inakuuma sababu kawahi kukupiga kibuti wewe na imezoeleka wanaume ndo huanza kugawa vibuti. Hapo mkuu ukubali tu ulioyoambiwa usianze kung'ang'ania sehemu usiyotakiwa,she gonna make u her slave.kimbia fasta babuuu!
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  nimekuelewa mkuu!
   
 4. h

  hayaka JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  usimjibu kwa karaha, huyo anakupima tu, isitoshe unapaswa ujue kuwa wanawake wanapenda sana kubembelezwa, nenda naye taratibu. mtext umweleweshe sababu iliyofanya ukapiga kimya.
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  we nae,ndo nini sasa wiki nzima mchuchu wako unamchunia? mtumie rafiki yake akakuombee msamaha.
   
 6. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Unasoma? au yeye anasoma? I mean secondary?
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  mkuu 2ko chuon wote,ila vyuo tofauti.
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wewe na weee,cku zote hizo umemchunia mwenzio ndio nn,cha msingi usimjibu mda huu, kwa vile leo wiki end na mwisho wa mwezi ukitoka job pita mahali mnunulie kitu ambacho anakipenda sana then tafuta namna ya kujua alipo kama ni hm mwibukie huko makayaongee then mtoko wa ukweli hope ucku wenu utakuwa mzuri na mtaanza ukurasa mpya,coz huyo bado anakupenda na hiyo msg ujue kakumiss.
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wote mnadanganyana tu!
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Bembeleza mtoto huyo acha uvivu!
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sasa kwann hukumuaga na wewe jamani, basi mtumie msg ya kuapologyz, au ikiwezekana mpigie simu kbs au aingie on line mchati then myamalize,mmbembeleze mtoto bado anakupenda hapo anakutega tu!
   
 13. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mlikutana Wapi au Fb?
   
 14. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mwambie its over too kwani naona kama nawewe ushamchoka..
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  cjamchoka,ila mambo mengi 2 ndo yanayonfanya niuchune.
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  2likutana mtaani.
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  mkuu,mawasiliano yangu ya mwisho ndo yalikua ya kuagana,nkamwambia nxt day me ntachomoka 2 dar,bt nimefka huku nkawa busy kdogo na mambo ya shule,nkajkuta cku znakatka bila kumcheki!
   
 18. RAU

  RAU Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuwa mtaratibu,
  Usimjibu kwa haraka inawezekana ni hasira tu.
  Kama amedhamiria utajua lakini kama anakujaribu, lazima atarudi kukuchokoza.
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  ndo nimuanzaje sasa??maana kanambia ''ts Over'' nd anantakia ol the bst thngz in my life.
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  nashukuru kwa mawazo yako mkuu.
   
Loading...