Hivi wanaume mmelogwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wanaume mmelogwa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mamaa Kigogo, Sep 28, 2011.

 1. M

  Mamaa Kigogo Senior Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake matatizo kibao hivi unategemea nini na nimegundua wake za watu hawapendi kuchiti kwa asilimia kubwa wanawake wana mapenzi ya dhati ila wanakuwa forced na vituko vya waume zao ndio maana wanakuwa rahisi kupata vishawishi nje ili wapate faraja angalau .haya huwa wanasingizia wanakosa mapenzi kwa wake zao ndo maana wanatoka nje ya ndoa watoto je ?wapi mihongo tu .nao watoto wanamakosa kuwalisha shida unaenda kulisha mijanamke ambayo ukiwa hauna unachapa lapa? wale wanaume wakware jirekebisheni ingekuwa ni uwezo wangu ningewapiga vipapai wote wenye tabia hizo ambao hawajuhi majukumu yao sijuhi waliowa ili iweje jirekebisheni habari ndio hiyo .

  nawakilisha
   
 2. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  hahahahaha. mamaa kigogo pole sana inaonekana una hasira kweli na baba kigogo, sio wote wako hivo wengine wanakupa kila kitu kasoro hayo mahaba tu anakuwa hampi mkewe, hivi kati ya chakula/matunzo na mahaba ungechagua nini swali tu la kizushi
   
 3. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  duh ... full mkorogo!! leo kazi ipo!!

  Join Date : 26th September 2011
  Posts : 25
  Rep Power : 0
   
 4. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mamaa Kigogo umenena, maana mie mwenyewe huwa nafanya karesearch kangu kadogo ka kutazama wanaume wanaocheat nimeona wengi wana wake wazuri sana, sasa wenzetu labda mtuambie huko kwa wake zenu wazuri nini kinakosekana??? Je? kuna ugumu gani unaoupata wewe kama mwanaume kumwambia mkeo kile unachokipenda???? Lingine nimeona siku hizi kuna katabia ka wanawake kupenda "Ushirikina" nawaomba wababa tafadhali sana muwe makini na hawa wamama/dada wengine ndio wachangia msahau familia zetu. Mnisamehe mie ni dada nilichoandika hapa ndicho naona kila siku kinafanyika.
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  lazima uchague kilichokupeleka pale, kwani kwenu hivyo vyote si uliviacha.
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  umesema kweli mamaakigogo labda wanaume wa siku hizi wanahudumia familia 100 kwa 100 sijui, lakini wale wa umri wangu mimi na bujibuji wanapenda sana majigambo ya huko nje kuliko ya nyumbani.
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli kwa hiyo hali sio nzuri hata kidogo yafaa wenye tabia kama hizo kujirekebisha haraka iwezekanavyo
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  wamerogwa, na alowaroga kafa, maana m2 watoto wanapiga pasi ndefu yy anahonga bar
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  uzuri wa sura sio roho Mpwa.....kuna wananwake ni wazuri utadhani hawa.....thubutuuu uwe nae, utaiona dunia chungu lakini pia simaanishi kuwa hio tabia ya baadhi yetu ni sahihi; hapana si sahihi hata kidogo
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  hili mimi halinihusu_maake bado nipo nipo sana
   
 11. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  mwanamke hata hapewe vyote bado haridhiki kila siku maneno maneno tuuu na vijisababu vya uongo ili ionekane mnaonewa!! na mkipata vyote hapo kwenye nyekundu mtadai mpate na kazi za nje khah!! wanawake nyinyi
   
 12. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmmmmmhhh mimi hapa nitakuwa mgeni!
  Napita tu.
   
 13. E

  Emeka Onono Senior Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  khaa! Una hasira? Punguza mamaa
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
   
 15. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fanya vyooote lakin husisahau familia yako utalaaniwa bureeeee wajamen,kumbuka hata ukiumwa huyo kimada hutamwona kukuhudumia ni mkeo na familia yako,so twende mbele na kurudi nyuma home is the best
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wanaume tumeumbwa mateso,ukiwa kazini kelele ukirudi nyumbani nako kelele nyingi ndio
  manake tunaamua kujirusha na vingasti ambao wanajua nn maana ya kuhandle.
  wanawake mnajisahau sana mkishaolewa, mume akitaka tundi hadi aombe na kupewa kwa masharti
  ,wote mnafanya kazi lkn wanawake wanataka mwanume yeye ndio aagharamie kila kitu home
  za kwenu hazionekani bora sasa kuwa na wanje.sasa na hao wa nje pia wanahitaji huduma kwani sii wote watabahatika kuolewa wanahitaji tuwahudumie pia wajamini,kizuri kula na nduguyo.
  mama kigogo jiangalie ww una mapungufu yapi kwanza kabla ya kumlaumu mwenza,,kweli ndoa kazi
   
 17. E

  Emeka Onono Senior Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe ndio mnavyotukaanga hivyo,loh!
   
 18. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  home is the best sawaaa, ila wanawake wanazidisha aisee duh!! kwanza wao kipato chao hawataki kitumike kutunza familia, zao zinaishia kwenye salon tu na mavazi ya bei mbaya eti unakuta mwanamke anaenda kusuka nywele laki 4 ila ndani hata maziwa ya watoto yakiisha hanunui anakupigia simu tu hata kama una kikao cha marafiki utasikia baba nanihiiii ukiwa unarudi nyumbani njoo na maziwa ya watoto yameisha aargh.., kuna wanawake hapa naskia wanaongelea viatu sijui CL pound 1400 ila kutoa na wao kidogo wachangie hata school fees hakuna, kwa wao jukumu loooote la kutunza familia ni la mwanaume aisee si bora mara moja moja na sisi tujipoze machungu na vya nje ya ndoa!![h=2][/h]
   
 19. M

  Mamaa Kigogo Senior Member

  #19
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo si kupunguza machungu ni kujikaanga mwenyewe siku yakikukuta unaanza kujuta wakati mchawi mwenyewe umwjiloga kuwa makini ndugu waulize wenzio hayo yote yana mwisho tena mbaya
   
 20. M

  Mamaa Kigogo Senior Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na wanalahaniwa vibaya yanapowakuta wanatia huruma ile mbaya
   
Loading...