Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waif ananibana - Ati nichague JF au yeye

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, May 16, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa, simu zinavunjwa na amani inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu yako.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mpe muda wake ili ajisikie amani alafu utaingia JF mpaka upachoke!!
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Bujibuji dawa ya mkeo ni kumuongezea mke wa pili.
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Ndio mana nlikua nasikia harufu kumbe hii thread imeandikiwa chooni.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua utamu wa hicho kitufe cha "New Posts"?
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mkaribishe jamvini.
  Kama hataki mtafutie mkuyati atakukimbia...
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,286
  Trophy Points: 280
  Pua za wenzako zinanusa ufisadi, ya kwako inanusa uding'a, hahahhaha wewe kiboko.
   
 8. Garmii

  Garmii Senior Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  c ww tu hata cc yametukuta,cha msingi ni kumwelewesha taratibu kuwa hakuna kibaya unachokifanya na ikiwezekana mwonyeshe.
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umeharisha mara ngapi tangu jua lizame?
   
 10. p

  pointers JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  pole sana mpe haki yake kwanza wala hutasikia akilalamika tena
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Buji sinaga nia mbaya ua kucheka... bahati mbaya saana Post zako makes my day... hua nafurahi saaaana. Sasa mmeishia wapi, hataki utumie kabisaaa au anakuruhu walau dakika 30
   
 12. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nna wasiwasi na hilo
   
 13. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu ina maana mda wote uko nyumbani?acha porojo bana!

  Kula mkongoraa wiki moja tu,piga kazi !walaahhi lazima akununulie laptop ya kuingilia jf.
   
 14. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa sasa uko wapi?
  ye yuko wapi?
   
 15. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
 16. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Inaelekea unapokuwa JF hata akikuongelesha usikii wala huelewi, Vyema kuendelea kumwelewesha na hata ikibidi awe anaona unachofanya maana unaweza kukuta anahisi View attachment 30089 unachart na vimwana
   
 17. S

  Stany JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kaka huu ni wacwac tu wa wanawake mweke waz .
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndo unatumia hii library kusaf jf
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hahaaaaaaaaaaaa Bujibuji umenifanya nisahau majonzi yangu kwa muda usiku mwema bana msalimu na mama watoto.
   
 20. CPU

  CPU JF Gold Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yaani nikiingia ktk thread tu huwa natafuta kuona umejibu au umeandika nini (Naona raha mwenzio kusoma post zako)
   
Loading...