Hii nayo..!

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo lao huwa nini?
 
Fashion tu mkuu_na wala si kingine!.....style that gain popular...na zinawapendeza kweli kweli
 
Pole kwa mshangao na karibu majin ile ni style tu ambayo ndio imeshika kasi kwa sasa, pia kuna skin-tite ambazo ni sawa na hajavaa kitu so ukiona usije ukakimbia au kuinama ni mavazi tu ya wadada siku hizi.
 
Afu hapo hujakutana na wale wenye swagga za brookyln na manhattan wakakupgia kiswa-english,c utataman kurudi bush kwenu cku hyo hyo.
 
sema wakwazwa na nini ukuiona mavazi hayo.. tukushauri.
 
Siku hizi suala la mavazi ukilijadili sana litakuumiza kichwa na mwisho wa siku hutaweza kuwabadili uvaaji wao.
 
Wanadai ndio fashen bt wengine wanafanya hvyo kwa target zao wenyewe nadhan inaeleweka maswala ya mishe mjini.
 
Wamelaaniwa. Hao ni mashetani walitumwa kutupoteza wana wa Mungu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom