Habari wana JF wenzangu, kuna kitu kinanitatiza sijui kinasababishwa na nini, kila nachofanya nahisi kuna kitu kina miss, najaribu kula chakula nikipendacho bado nahisi sijaridhika, najaribu kuwa...
Stor inaanzia miaka zaid ya 20 iliyopita ambapo wawili hawa wote wakiwa watumishi katika shirika moja, walikuwa katika mahusiano yaliyofikia stage ya uchumba na kutambulishana nyumbani. Kwa sababu...
Wana MMU habari za weekend?
Nimeona nianzishe Uzi huu baada ya The Finest kunitafakurisha kwenye Uzi wake "what make u stay"
Ni mara nyingi sana kwa kwa baadhi ya waume kupiga wake zao naomba...
Wanawake ambao wana vurugu za kindoa na hasa kufujwa na waume zao, huwa wanapoteza saa nyingi za kazi kwa kiasi cha asilimia 40 ukilinganisha na wanawake ambao ndoa zao hazina vurugu. Muda huo...
Hivi urembo wa mwanamke uko wapi??
Mpaka sasa ninachanganyikiwa kutokana na mambo yafuatayo;
1.Wengi wanadhani ni sura(hawa hawanipi shida,wamepotea njia)
2.Wengine wanachukulia kuwa ni sehemu za...
Habari za Jumapili ndugu zangu wapendwa, nimekuwa najiuliza hili swala,
kila mtu akiwa na upweke ana njia yake ya kuondoa upweke alionao
na mimi pia huwa nina njia zangu za kuondoa upweke nilio...
Imenichukua muda kuisimulia hii hadithi iliyo ya kweli..
Nahisi ni mie mwenyewe katika dunia hii nilokumbwa na mkasa huu wa aibu na ambao sitausahau maishani..
Ama kweli sikusikia la mkuu na...
Yaani siku hizi wanawake wenye midevu iliyosababishwa na mikorogo si wa kutafutiza tena, maana wamejaa kibao. lakini kuna msemo wa long taimu unaosema "Black is Beauty" sasa kama kweli black is...
Ni saa mbili kasoro usiku mko sebuleni na watoto mnasubiri taarifa ya habari TBC mara linarushwa tangazo la biashara ya bidhaa za kinamama za kujisetiri.Tangazo linaanza mara oh inanyonya...
wanaume tafadhali naombeni mawazo yenu ili nimsaidie mdogo wangu ushauri,hili mana mnaweza kuwa na mawazo ambayo ya ukweli mwingi zaidi,
Hivi kweli ukiwa umekaa katika uhysiano kwa miaka 6 without...
Nnimewahi kusikia kuwa mwanamke akifikia umri fulani hasa above 35
huwa anajua moja kwa moja iwapo kuna mwanaume around mwenye kumtamani
au mwenye nia ya kumtongoza.......sijui ukweli wa hii kitu...
Wakuu,imekuwa ni kawaida kwa wanaume 2napopigiwa cmu na namba ambayo imekosea(wrong no) inapokuwa sauti ya kike...2natongoza hapo hapo na kupanga hata kuonana..wengine wanapenda sauti na...
Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli...
MAEMBE YA KWETU MATAMU, YAKIDONDOKA YENYEWE!
Maembe yalodondoka yenyewe
Maembe yetu matamu, matamu yanipa hamu
Ladha yake ni adimu, yana vigezo muhimu,
Si machachu kama ndimu, yanataka...
Inaelezwa kwamba wanawake wa mjini ambao hawana simu, wanapoanzisha uhusiano na mwanaume ambaye ana simu, kauli ya, kama ningekuwa na simu ingekuwa vizuri sana, hujitokeza.
Kuna idadi kubwa ya...
Mimi ni kijana under 30yrs niko na ndoa 2 yrs now,ila tatizo linalonisumbua nahis nampunja mwenzangu japokuwa hakuwah kulalamika ila ckuwahi kumckia akisema,baaac imetosha.Tatizo langu ni kuwahi...
Kuna hofu nyingi kwa wanawake kudhani kwamba hawatapata wapenzi kwa sababu hawana matiti mazuri, hawana pua au midomo mizuri, hawana miili ya Kizungu, hawana mguu wa bia au hawana kiuno cha...
This is a true story of Mothers Sacrifice during the Japan Earthquake.
After the Earthquake had subsided, when the rescuers reached the ruins of a young womans house, they saw her dead body...