Hii ndio depression au nini wandugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndio depression au nini wandugu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gaga, Apr 23, 2011.

 1. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Habari wana JF wenzangu, kuna kitu kinanitatiza sijui kinasababishwa na nini, kila nachofanya nahisi kuna kitu kina miss, najaribu kula chakula nikipendacho bado nahisi sijaridhika, najaribu kuwa karibu na family steel im feeling lonely, najaribu kufanya shoping nisikie raha wapi! making love every now and then bado tu siridhiki na roho yangu, nisaidieni ni nini inasababisha hali hii? au kazi nyingi? au ndio depression magonjwa ya kizungu hatujayazoea mwenzangu, naombeni ushauri. najua humu huwa hakiaribiki kitu
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ni hali ambayo huwa inatokea saa zingine unaweza kuwa pamoja na kujitahidi kufanya kila kitu still unakuwa unajisikia hauna raha, unakuwa unajisikia kama kuna kitu vile kinakuumiza pia kwangu huwa inanitokea mara kwa mara cha msingi vumilia ni hali ya muda tu then itaisha dont stress yourself too much about give it a time try to calm as much as you can and enjoy the rest of your time don't let it ruin your other plans
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ahsante sana The Finest yaani nahisi kama nina zigo hivi nakosa amani na sijui nini kinanisumbua akili yangu,ngoja nijaribu kuipotezea nione itakuwaje
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Jaribu kupotezea ikiwa ni pamoja na kutoifikiria hiyo hali sana kama hii sikukuu ume-plan something just do it unaweza hata ukamchukua mtoto ukaenda nae sehemu kutembea nae just kuondoa hiyo mindset uniyokuzonga kichwani mwako
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni hali ya kawaida kwa binadamu. Lakini jambo la msingi ni wewe mwenyewe, kujiuliza unataka nini, utakipata wapi na kama unaweza kukipata. Sometimes, TOO MUCH EXPECTATIONS LEAD TO DEPRESSION. Inawezekana unafikiria mambo makubwa sana ambayo, katika reality, hayawezekani! Gaga, kama ninayosema ni kweli, basi come back to reality. Otherwise, kuna jambo la ndani sana ambalo hujalisema....
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Why don't you go and spend sometime kutembea at Holland Park au vile vile Kensington na Bayswater
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kama alivyosema TF hapo juu
  potezea...yaani dont think too much about it
  Usikae na kuwaza kwamba kuna kitu kinakusumbua
  ikatae hiyo hali na jitahidi kuenjoy kila unachofanya
  Happy Easter!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Yaani Easter unakula peke yako hata kunialika hamna
   
 9. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wakati mwingine dia Gaga inakua kuna kosa ambalo umelifanya bila ww kupenda ila kulikuwa kuna ulazima wa kufanya hivyo, na wakati unalifanya ulijua kabisa kuwa nafanya kitu ambacho si sahihi!!! Nafsi inakuhukumu!!!

  Usifadhaike sana moyoni mwako!! Roho mtakatifu ni mwaminifu hembu kwa dk chache fumba macho yako useme naye!! then utakuwa safi kabisa.

  Love u mamaa!!!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ulimaanisha mimi au Gaga??? Lol
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kama age yako inagonga 45 (kwa akina Mama), basi ni lazima upitie hali hiyo!Ni kipindi ambacho unatakiwa kujihusisha na mambo ya kijamii zaidi kuliko ya ki-famili - Tembelea watoto yatima, jiunge na vikundi mbali mbali (SACCOS, VICOBA, TUSHIKAMANE, e.t.c) ili upate muda wa kukaa na watu wa aina tofauti tofauti...

  Anywayz pole sana
   
 12. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ahsante ila nafikiri nimesema kila kitu huwa sibakizi hata jambo la ndani aje, kwa kweli hata kama natamani kitu nahisi sikijui ni nini ndio maana najiuliza nataka nini
   
 13. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Duh baba Enock huko mbali sana niko between 30 - 35 ahsante kwa ushauri
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inawezekana kuna kitu kinakusumbua japo mwenyewe hukitambui (not aware)..inawezekana ni kitu umefanya au kitu hujafanya..unataka au unatamani!Jaribu kujichunguza na kujiangalia pamoja na walio karibu yako.Kama upungufu unaohisi hauhusiani na chakula hata ule pesa hutohisi kuridhika!Jitahidi ujue jinsi ya kujiridhisha usije ukaanza kununa nuna hovyo!
   
 15. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona we mchokozi hivyo?????? Invisibleeeeeeeeeeee njoo umuone Finest kwani yy kawa Gaga?
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Khaaa yaani unanikana na kunisaliti hadharani kama Yuda alivyofanya kwa Yesu:hail::hail::A S-cry::A S-cry:
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hivi pia inawezakuwa ni hivi ee ila mbona siwazii makosa na wala sijui najutia nini sasa, poa mamii nashukuru
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yaani kununa ndio nafanya sasa hivi kitu kidogo nashout, inabidi nikae nitulie nijichunguze
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 20. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Hapo Susy kuna ukweli... upembuzi wako wa kiroho nimeupenda zaidi... ubarikiwe wewe na mwenye tatizo pia!!
   
Loading...