Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
umeoooonaaa eeeehhh???
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habarini za mchana ndugu zanguni nimeiona vyema niwajulishe wale waliokuwa njian kuelekea sinza nyumba za wageni zimejaa sanan so vyema ukaagairi mnapokwenda na hii ni kutokana na mvua...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
How can a ''sorry'' heal a broken heart?????
1 Reactions
19 Replies
3K Views
habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Juzi nililala hapo mahali nikajilaumu kwa nini sikutembea na mke wangu. Karibu kila aliyeingia pale alikuwa na wake. Halafu TV zina channel ya mavituzi masaa 24. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
kichwa cha habari hapo juu cha husika..
0 Reactions
58 Replies
6K Views
hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
On average; Muda wa kupendeza na kuenjoy maisha 20-28 yrs Above 28 year, choka mbaya..
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hello jf!!eti kuna galfriend wangu kanambia ''its Over'',kisa nina wk moja cjamtafuta kwenye cmu,wajameni hii ni sababu ya wa2 kuachana kweli?infact ye mwenyewe hajawah ntafuta,wala hata hajataka...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Ever you forgiven anyone in your life? Kosa gani ulilofanyiwa hadi kulazimika kutoa msamaha, mfano; kutukanwa, kudanganywa, kuibiwa, kupigwa, kunyimwa haki, kusalitiwa kwenye penzi, .......! How...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndoa si msukumo rika, wala kufuata mila, Ndoa ni kukubalika, bila kufanyiwa hila, Ndoa si kuhangaika, ili kulipa fadhila, Ndoa ikikamilika, hutayapata madhila. Ndoa si kuwa na gari, wala...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii sheria ikiletwa Bongo itakuwa balaa! Najua humu ndani kuna wachungaji huwa wanapitapita, vitabu vinasemaje kuhusu hili? Mexico City considers 2-year marriage licence Lawmakers in Mexico...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapwaz na Mabinamuz! Jamani week-end hii ni tamuuuuuuuuuu..... kwanza imeangukia mwisho wa mwezi 1. Bar zote leo zitajaa sababu ni mwisho wa mwezi hela ipo ya kutosha2. Gestihausi zote zimejaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Nimekuwa na urafiki na dada mmoja kama miaka saba hivi imepita baada ya hapo nikamwambia mie napenda huwe mpenzi wangu mungu akipenda tuwe pamoja..yule dada akakubali tuakaanza safari ya mahusiano...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni mdada mwenye umri wa miaka 32, hakubahatika kuolewa wala hana mtoto lakini amekuwa na jamaa aliyeishi naye kwa miaka takribani minne, kifupi ni mfanya kazi mwenzangu na rafiki mzuri pia kwani...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tumeongea sana leo kwenye kipindi baada ya dada mmoja kulalamika kuwa mumewe anatabia akirudi nyumbani anazima simu na yeye akiona simu imezimwa hujaribu kwenda kuiwasha na kutaka kupekuwa sasa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
What is Audit? Once upon a time there was a shepherd looking after his sheep on the side of a deserted road. Suddenly a brand new Porsche screeches to a halt. The driver, a man dressed in an...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…