Broken heart

Shantel

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
2,018
1,108
Imagine unaambiwa maneno hayo chini hapo na mpenzi wako kwa kumaanisha toka moyoni mwake
na ukimwangalia machoni unaona kabisa yametoka moyoni, sorry ni kitu kidogo sana ila kinaweza kum
toa nyoka pangoni

I'm sorry that I hurt you.
Please forgive my mistake.

You mean so much to me.
I promise never to hurt you again.
I'm sorry.

I may not have enough words to tell you how bad I am feeling about what I did.
So all I can say is, I'm sorry.

Please give me one last chance.
I promise it will never happen again.
I'm sorry.
 
Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
9,963

du,haya bana,Bishanga Abashaija yaani nimejikunja goti chini natamka maneno haya,mmmhhhh eeeeeehe!
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,083
6,332
Imagine unaambiwa maneno hayo chini hapo na mpenzi wako kwa kumaanisha toka moyoni mwake
na ukimwangalia machoni unaona kabisa yametoka moyoni, sorry ni kitu kidogo sana ila kinaweza kum
toa nyoka pangoni

I'm sorry that I hurt you.
Please forgive my mistake.

You mean so much to me.
I promise never to hurt you again.
I'm sorry.

I may not have enough words to tell you how bad I am feeling about what I did.
So all I can say is, I'm sorry.

Please give me one last chance.
I promise it will never happen again.
I'm sorry.

Hapa lazima uweke silaha chini...
 
Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,157
mimi wala hainikuni utakuta mtu kalala na shemeji yake kabisa anakuja honey am sorry ni shetani tu shetani?am sorry? mhhhhhhhhhhhhxxxxxxxxxxxx
 
Salma osman

Senior Member
Feb 22, 2011
164
42
Imagine unaambiwa maneno hayo chini hapo na mpenzi wako kwa kumaanisha toka moyoni mwake
na ukimwangalia machoni unaona kabisa yametoka moyoni, sorry ni kitu kidogo sana ila kinaweza kum
toa nyoka pangoni

I'm sorry that I hurt you.
Please forgive my mistake.

You mean so much to me.
I promise never to hurt you again.
I'm sorry.

I may not have enough words to tell you how bad I am feeling about what I did.
So all I can say is, I'm sorry.

Please give me one last chance.
I promise it will never happen again.
I'm sorry.

and what if its somethg thats unforgiveable?
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,232
4,042
and what if its somethg thats unforgiveable?
Hata kama hutamsamehe lakini sory itakuwa imepunguza uzito wa hilo kosa kwa kiasi flani. Kila mtu anapendwa kuambiwa sorry..usiposema sorry unazidi kumuongozea uliyemkosea machungu
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
217,373
728,466
How can a ''sorry'' heal a broken heart?????

some broken hearts are doomed abinitio........................no amount of sorry will heal them............................facing facts is part of recuperation process...............
 
Salanga

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
364
44
Hakuna cha sorry wala nini.Mimi nikishajua amekunwa tu imekula kwake maana sijaumbwa kuteseka.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,985
and what if its somethg thats unforgiveable?

Salma a person who loves.... Love ile ya ukweli understands the other person (ambae ndo you love) more than anyone else... Unakua unamkubali kwa madhaifu na strength zake pia. Hivo hata siku moja usitegemee kua mtakua constant bila kukwazana no matter the kosa. How can you say you love without knowing how to forgive for hata Vitabu vya dini yaonesha mwenye love husamehe.... Na kama huo ndio msimamo wake IMO i would say you are the one with the problem na sio yeye. For believe me you kuna watu hafanyiwa makosa hata hio SORRY hawajawahi isikia and still they forgive....
 
looks like it is heaven................................where problems just disappear in the name of love..................fantastic if real.
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,985
looks like it is heaven................................where problems just disappear in the name of love..................fantastic if real.

Problems do not dissappear Rutah.... A human being rejuvinates from the experience one gets, and being hurt by loved ones is one of them... From a person who so quotes the Bible would have thot kua ni evident kwako.... Problems makes you stronger, wiser and a good person.
 
Salma osman

Senior Member
Feb 22, 2011
164
42
Salma a person who loves.... Love ile ya ukweli understands the other person (ambae ndo you love) more than anyone else... Unakua unamkubali kwa madhaifu na strength zake pia. Hivo hata siku moja usitegemee kua mtakua constant bila kukwazana no matter the kosa. How can you say you love without knowing how to forgive for hata Vitabu vya dini yaonesha mwenye love husamehe.... Na kama huo ndio msimamo wake IMO i would say you are the one with the problem na sio yeye. For believe me you kuna watu hafanyiwa makosa hata hio SORRY hawajawahi isikia and still they forgive....

thanx ma dea.u made ma day.i was so stressed atleast u made me smile.thanx ones again and have a nice weekend may God bless u inshaallah!
 
Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,708
5,613
Salma a person who loves.... Love ile ya ukweli understands the other person (ambae ndo you love) more than anyone else... Unakua unamkubali kwa madhaifu na strength zake pia. Hivo hata siku moja usitegemee kua mtakua constant bila kukwazana no matter the kosa. How can you say you love without knowing how to forgive for hata Vitabu vya dini yaonesha mwenye love husamehe.... Na kama huo ndio msimamo wake IMO i would say you are the one with the problem na sio yeye. For believe me you kuna watu hafanyiwa makosa hata hio SORRY hawajawahi isikia and still they forgive....

Bila shaka hawa ni kina Mercy na kina Angela ambao pamoja na kuwa cheated, kupigwa, kuchanwa chanwa mwilini na kukatwa masikio ila bado walisamehe!! Aisee na wazidi kusamehe saba mara sabini! (I pressume Salma's case an exceptional to the posts for the unknown facts)
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,985
Bila shaka hawa ni kina Mercy na kina Angela ambao pamoja na kuwa cheated, kupigwa, kuchanwa chanwa mwilini na kukatwa masikio ila bado walisamehe!! Aisee na wazidi kusamehe saba mara sabini! (I pressume Salma's case an exceptional to the posts for the unknown facts)

Kipipi dear.... I am starting to get worried you know.... Naona nije via PM....
 
Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Sorry never reframe broken heart... its like a broken bottle whic never regain its original shape when broken
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom