Ninarafiki ameolewa,ila mumewe yuko karibu sana sana na mfanyakazi mwenzie wakike,wako karibu kiasi mke anahic wana mahucano ingawa mume anapinga na kusema wao ni marafiki 2,kinachomkera ni...
Jamaa huyu ambaye kachoshwa na taarifa za mtaani ya kuwa memsapu wake amekithiri katika kuigawa...................sasa adai kapata dawa..............mama hushurutishwa kuvua nguo zote usiku halafu...
kuna mrembo nimekuwa na urafiki nae kwa mda mrefu lakini cha ajabu kila mara nyakati za usiku ananiomba tufanye mapenzi njia ya kwa simu hali hii inapelekea kujichafua kila siku au kumalizia...
Najaribu kujiuliza hivi kama wewe ni mke, girlfriend au hata nyumba ndogo wa mmoja wa hao wanaolisukuma gari la Jairo, ungejisikiaje pindi ulipoiona hii picha kwenye vyombo vya habari ukitegemea...
Wadau wa JF.
Kuna jirani yangu ni mdogo kiumri kamaliza chuo mwaka juzi, na mwaka huu kafunga ndoa.
Kaniomba ushauri kuhusu ndoa yake ndio kwanza ina miezi saba tu, tatizo liliopo huyo kijana...
malawian man who collapse and die while having sex with a prostitute was killied by sex sweetness, wanajf hii imekaaje maana me binafsi aingii akilini.
Kuna jamaa yangu kanifuata kuomba ushauri juu ya tabia ya mke wake, naomba busara zenu wadau.
ishu ni kwamba toka mke wake apate ujauzito, nyumba imewaka moto!
shem amekuwa anamgomea mara nyingine...
Wana JF.
Katika matembezi yangu ya weekend nilikwenda sehemu moja kwa mapumziko kwenye ufukwe wa bahari.
Wakati nimekaa pembeni yangu walikuwepo kina dada kama watano wakipiga story zao...
Zaidi ya kuwa matiti ni kiungo katika mwili wa mwanamke, pia matiti ni alama au kitambulisho cha mwanamke kuonesha yeye ni mama, huonesha mapenzi/upendo, ulinzi, nguvu, upendo, kukomaa kwa...
Nina uhakika wengi wetu (kama siyo wote) katika maisha, tulishapenda, kupendwa, kuacha na kuachwa vile vile. Kwa hiyo katika mahusiano tunajua wazi kwamba penzi huzaliwa, hustawi na wakati ukifika...
Kale kadada ambako kaliniboa nilikakimbia baada ya kunipiga mzinga wa hela ya saluni mara baada ya kukatoa lunch, eti kanaanza kutaka nikutane nako tena!
Kanaanza hivi....
Samahani kaka, unajua...
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama...
Mimi ni kijana wa kiume. Nahitaji msichana wa kunifariji & kuniliwaza kimapenzi! Awe girlfriend wangu mwaminifu na anayejua mahitaji ya mwanaume kimapenzi. Kwa mawasiliano PM me, please!
Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo.
Tangu tuzoene...
kila jamii ina taratibu zake na mifumo yake ya jinsi ya kuishi. Haya yafuatayo ni mambo ambayo nadhani kwamba yanagawanyika katika jamii ni yepi ya kufanywa na wanaume au wanawake na yepi ni...
A Malawi newspaper the Nyasa Times is reporting that a man died in the commercial city of Blantyre after engaging "himself beyond the limit of sexual frenzy." Fletcher Jere died ‘riding' a...
Hari zenu wakuu, hii ishu mwenzenu inanipa tabu kidogo yani nashindwa kuzoea na kutoishangaa,kuna mbaba mtu mzima tu mwenye familia yani akirudi tu kutoka kazin au akiwa kwake mda wote anakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.