Mpenzi wangu ananibania sana!

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
885
660
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!
 
Mwendawazimu2

Member
Nov 29, 2010
54
5

wewe ni zuzu... uko na mwnamke ndani alafu anakubania!!!? for sure ukioa lazima wanaume wakugongeeee...
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
kalipe mahari hukoooo! unakopa ndo maana anakubania,isingekua hiyo free accomodation usingeona ndani! ila wazazi wa siku hizi nao! yaani mtoto anafanya field anakaa kwa bf?wazazi anawaambia bado yuko chuo?
 
The great R

Senior Member
Jun 7, 2011
142
37
Nashauri kama great thinker co juu juu tu.
Kwanza kabisa umekosea hukupaswa kuishi nae wakati huu kabla hujapewa kibali halali,inawezekana anafanya hivyo ili usimzoee sana wakati nadhani hata family hazitambui uhusiano huo au hata kama wanajua binti huyo ni mwerevu sana kuliko wewe ndio maana hataki.
Naamini ulimtafutia mksudi ili uishia nae na umemlazimisha ila kwa sababu anakupenda akakubali ila namsifu kwa misimamo yake.
Pili naona kama we unamind sana game ndio maana kwa mara moja moja huridhiki wewe.
Tatu,humpendi kwa dhati ndio maana unatamani eti kumpiga chini kisa kakunyimia kitumbua chake hah hahaha.
USHAURI: kaa nae mweleze kama ulivyotueleza the sikiliza majibu yake, kama kweli unataka awe mkeo jifunze kutulia nae na kuyaongea mamboyenu mana naona hata mbele itakuaishu, kuwa na subira tena kumbuka wewe ndio mume mwanaume ndani ya nyumba
 
Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,480
2,124
We utakuwa ***** kama c mjinga! utakuwa unambaka, muandae kwanza na c kumbaka kaka! ukishindwa nipe namba yake nkusaidie, na inawezekana ni demu wa kitaa! wewe unaangaika kupiga kamoja kwa wiki wakati wenzako wanamkamua uko chuoni kutwa mara 3! we laza damu wenzako wakusaidie.
 
valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,845
842
mwanamke mjanja sana huyo.na kama sio mnalala nae pamoja usingeonja kitu mdau...ila haraka ya nini wakati ukishamwoa utakula mpaka kifo kiwatenganishe?au we unataka daily nini ndo mana anabana?
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,084
17,762
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo!

Aache utoto au anameno huko chini anaogopa akikupa sana ataloose control na kuufumba akung'ate maana mi najua habari za madem wa kitanga huwa wanafungwa na ma ex-boyfriend zao ila kama umemtoa bikra mwenyewe achana na hili wazo langu na mpe methali hii ."UKIAMUA KUOLEWA USILALE NA CHUPI"tehe tehe tehe Wahenga bwanaa....
 
Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
885
660
Wadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Hakupendi huyo, halafu inaonekana wewe ni kijana smart lakini yeye bado hajaridhika na wewe ana imani wapo wanaume wengine wanaoweza kuziba gap baina ya ndoto zake na hali aliyonayo, halafu kitu kingine umeshawahi kimueleza hilo na ukaisikia majibu yake kisha ikayapima ukaona yana logic?
 
Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada mkubwa,kama mwenyezi Mungu atasaidia mwakani ndoa mwezi wa sita!ss basi shida ipo hapa kuhusu unyumba anabana sio mchezo. Namaliza week sijaonja hata ukiomba anakwambia hajisikii ikitokea ukapewa basi ni kagoli kamoja tu basi hataki tena mpk week kifupi ajisikie yy kwanza!wakuu hali hii inanipa wakati mgumu sn mpk na feel nimpige chini hebu nisaidieni mawazo![/Mkuu hilo ni tatizo la kisaikolojia tu. You have to learn how to to play with her brain my friend. Wanajamii naomba tumsaidie jamaa yetu jinsi ya kucheza na akili za hawa watu kwa sababu kwa vile kesha mpenda huyo bibie asipopata proper treatment kwa ajili yake wkt anatarajia kwamba binti ndio atakuwa our shem to be, nahisi kitakachofuatia baada ya ndoa yao ni threads za kuomba ushauri juu ya jinsi ya kujitoa na ndoana aliyokutana nayo. Othewise mkuu kama unahisi kuwa bado hujaridhika na michango ya ndugu zetu wanaJF naomba ni-PM nikupe hints za kufanyia kazi.]
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
Wadau kuhusu kufanya kazi yangu ya kiume kiukweli huwa napambana si mchezo mpaka kwa hilo mwenyewe huwa anakoma!lkn hili la kubana jamani linanikatisha tamaa kabisa na huwa nazungumza nae anasema mpaka ajisikie yy ndo anipe!

mkuu kazi husifiwa na mwajiri huwezi kujisifia kwa ufupi kuna mapungufu unayo katika utendaji ... kwanza unatakiwa uongee kwa vitendo mtoe out kwa ajili ya mazungumzo na pia kupumzika , pia inaonyesha humwandai vya kutosha na hapa unalalamika kama vile ni haki yako ya msingi kumbuka unapewa tu kama ya promosheni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom