tafadhali msaada wako unaweza kuinusuru roho ya dada huyu
kuna shost wangu anampenda sana mume wa mtu kinoma yani na kabla ya kuingia ktk mahusiano na huyo jamaa aliambiwa ka jamaa anamke na mtoto...
Katika baadhi ya maeneo ya uchagani hasa Rombo, kuoa suria ina maana kuishi na mwanamke bila ndoa. Sasa nakumbuka staili iliyokuwa inatumika mabayo kuna jamaa yangu ananiambia anataka akaipraktiz...
kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani...
Imebainika kwamba wanandoa ambao wakikasirishwa wanatoa hasira zao, wanaishi zaidi kuliko wale ambao hukaa kimya lakini wanaumia kwa ndani.
Kuna wanandoa ambao wanaitwa wapole, ambao wala sio...
Kuna rafiki yangu mmoja alifunga ndoa zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Hata hivyo, hivi majuzi alinidokeza kwamba tangu afunge ndoa na mke wake alijisikia furaha ya ndoa katika wiki ya kwanza tu...
Jamani naomba mnisaidie, nawezaje kugundua kama mke wangu ama mpenzi wangu ametoka kufanya mapenzi leo leo kabla mimi sijakutana naye. Hebu nipeni mbinu waungwana nitagunduaje jambo hilo? Mfano...
Duniani kuna mambo, mkasa huo;
DUBAI (AlArabiya.net)
A 50-year-old Saudi woman asked for divorce after her husband lifted her face veil while she was sleeping, local press reported.
For...
What would you do if you woke up one day to the news that one of your children didnt belong to you? Not many men imagine this can happen to them until that fateful day when they discover the...
Ndugu wana JF, kuna hiki kitu ambacho mimi huwa nashindwa kuelewa, ni kwanini mdada anapokuwa mcheshi wakaka/wanaume huwa wanachukulia kuwa she is easy to get.
Utakuta wakaka wengine wanamsema...
Mimi niko nje ya nyumbani(TZ) niko ugenini, kazini kwangu kuna dada wa miaka kati ya 24-30 ni mfanyakazi mwenzangu na ni mke wa mfanyakazi mwenzetu, ananitaka kwa nguvu ametumia email ameona...
habari
kuna dada mmoja amenieleza kisa hiki kimemtokea hadi sasa anashindwa aamue nini
huyo dada kaolewa kwa ndoa ya kanisani miaka 11 iliyopita na wamejaliwa watoto 2 ila karibu kuna tatizo...
ZAIDI ya nusu ya wanawake walioulizwa wameonyesha kutoridhishwa na tabia ya wapenzi wao kupuuzia umuhimu wa kuchezeana kimwili kabla ya kufanya-sex. Hii ni kwa mujibu wa dondoo za utafiti...
Kauli hiyo siku hizi ni ya kawaida sana, kwani kila uchao watu wanaoana, kila wiki siku hizi utasikia matarumbeta na nderemo kila kona na sio mijini tu bali pia hata huko vijijini watu...
Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata...
We all know what power does to a person.....
I mean kuna watu wakipata madaraka..kazi...elimu...pesa zaidi ya walizokua nazo mwanzo wanaruhusu vitu hivyo vitawale hata utu wao na wanabadilika...
Wapendwa hamjambo?
Ninaomba mnisaidie kufikiri maana sasa naiona dunia ya mapenzi kama uwanja wa fujo tu ambao natamani kama ningeweza kujiepusha nao niuepuke.
Nimesoma na kusikia visa vingi...