Naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Top Thinker, Oct 2, 2011.

 1. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #1
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  [expired]
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Top Thinker.... Hebu chukua jina lako na apply katika hii issue....

  Msichana wa Mkoani..

  Personally naona huna sababu za msingi kumuacha ila unataka kumuacha, Yaonesha ni dada mtulivu na mstaarabu na she loves you... na kumuacha unajisikia guilty, ila tu ili kuepesha the guilt that is driving you right now umepost hoping wanajamvi tukushauri muache ili wee umuache na uende kwa Amani... Acha hizo Mkuu kama umeona humpendi tena kua wazi na eleza hivo; thou inabidi uangalie saana dada Dsm kacheza nafasi kiasi gani mpaka wee ukaja na uamuzi huo.

  Dada wa Dsm....

  ...........lol........... She loves you.... Hana lolote na nahisi wee pia you have feelings for her ndo maana umeona hii ni dilema. Ila tu yaonesha you are a good guy for wengine would have played both bila hata kichwa kuuma.
   
 3. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Labda ungetoa sababu ambazo wewe unaona ni bora kuachana na huyo wako wa zamani, ningeweza kushauri zaidi. lakini ni sababu za kuwa mbali au zingine za kawaida (sio kucheat) ambazo zinaweza kurekebishika usimuache huyo mwenzako wa zamani wa mbeya. Ukifanya hiyo dhambi ujue ipo siku na wewe itakutafuna, haiwezi kukuacha hivihivi, Isitoshe huyo wa DSM bado anampenda wake na wanaweza kurudiana au ukajakuta hata kama ukimchukua huyo jamaa anaweza akaendelea kumgonga wakati upo naye. Kifupi linda mali yako ya siku nyingi achana na mali za mpito.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mbona hueleweki?
  Acha kutanga tanga na mapenzi. Utaishia kubaya.
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  AD huyo TT hana lolote hapo anataka tu kulamba kote kote. Hivi kama dame umempenda na unajua na yeye anakupenda achilia mbali kukuheshimu, haiwezekani from nowhere uanze kufikiria kumtosa. Ukaribu wake na huyu dame wa dar ndio unaomfanya aoene umuhimu wa kuwa na kipoozeo, na nionavyo mimi dada wa dar anataka kujaribu bahati na sibu yake hapo na ni wazi uhusiano wake sio serious kivileeeee.

  Na suala lingine wakina dada huwa mnashangaza ni hili la uaminifu. Huyo dada anadai boyfriend wake sio mwaminifu, halafu anajilengesha kwa TT huku akijua TT ana mtu, ukiangalia hapo issue si ni ile ile tu kwamba 'wanaume wote tuna tabia sawasawa'?'.
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nimekumbuka mziki wa ngwea, dame kaenda kwa ngwea then anaanza kumkandia mpenzi wake, hapo si ni kama anakwambia umtokee tu. Like mother like daughter. Teteteteeeeeeeeeee!
   
 7. A

  Arshant Member

  #7
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka tulia na mpenzi wako..utamaliza butcher nyama ni ile ile!
   
 8. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #8
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nimeku pm ashadii.
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kijana wewe unaleta classic case ya kwa nini long distance relationships dont work. wewe ni mwanadau na kuwa lonely ni natural.
  sasa bwana ukweli wa mambo ni kwamba long distance realtionships dont work, anayesema kuwa zinawork basi anadanganya au hajui kuwa mwenzie upande wa pili anamsaliti. kusudi kuu la mahusiano ni kuwa na mpenzio pembeni ambaye wakati wowote unaweza kuwa nae na kukuliwaza...sasa kwa sababu demu wako hayupo hapo dar na u r lonely basi ndio maana nawe umeanza kumpenda huyu demu.

  sasa basi mii nakushauri hivi: wewe mwambie huyo demu wako wa mbeya kuwa this relationship wont work na kwamba mkiendelea mtakuwa wote mnajitia majaribuni na hivyo basi ni bora mwende separate ways. nivigumu kwake kulikubali hilo lakini na kwambia kabisa kuwa honesty yako ataipenda. baada ya kumwambia uamuzi wako basi sasa wewe endelea na huyo dada wa dar.
  all the best!!
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Oct 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nimependa mtazamo wako thou nataka kuongezea... Nitarudi Mkuu...

  Nimeona PM... Sorry will get back to you as soon as possible.
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  NI TAMAA TU MBEYA TU HAPO nlidhani yuko ughaibuni, naona humpendi kwa dhati mapenzi ni kuvumilioana so long wote mnatafuta namna ya kuanza maisha yenu, huyu wa dar atakuharibia kila kitu na abadae atarudiana na mwenzie wewe utabaki zero, kuwa makini, na hao walioawana wakaishi mbali na wapenzi wao au wake zao nao wachukue wengine kwa vile kila mtu yuko mbali? acha hizo. kwa akili yako ya mzumbe utawazaje upuuzi kama hivi dunia imejaa magonjwa mengi,ndio kwanza umetoka chuo juzi tu sisi tumetoka zamani zaidi yako hatukuwa na mawazo kama haya. nyumba haijengwi siku moja.
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Hii ni hadith ya ku2nga.
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  TT naamini huna sababu za msingi za wewe kuachana na huyo GF wako ila tu unajaribu kutumia mapungufu yako ili uweze kutimiza matakwa kwa huyu mwingine ambaye yuko hapa dar ..

  lakini unajaribu kutushawishi kwa kuonyesha huna mahusiano na huyo dada lakini haiwezekani kufikia hatua za kuitana majina ya unono kama hamajalishaa unono na kibaya zaidi unataka kutumia nafasi ya yeye kuzinguliwa na bf wake ... kaa ongea na huyo dada wa mbeya ikiwezena mwamishie hapa dar kama uko serious ila kama unataka mitelemko inaumiza
   
 14. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #14
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nimepata ushauri wako kaka.
   
 15. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #15
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  You are not serious, sio kila anayeingia JF ni comedian, siwezi poteza muda kutunga kitu kisichonisaidia kwa lolote.
   
 16. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #16
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nimekupata mtumishi, may be huwezi amini, ila ushauri wako umeniingia moyoni. Thanks sana.
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Na wasiwasi na wewe utakuwa unapenda WAJANE tu.yani unakimbilia WAJANE...labda ndo kipaji chako.mana unataka kumwacha mpenzi wa kwa ajili ya mang'aa flani.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Oct 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Para ya juu ni maoni yako which you are entitled to.... Hio nilo color... Sijui kwanini in most cases guys think that a lady does not know what she wants (yawezekana in most cases ni kweli) BUT huyu dada wa Top Thinker is into the guy; That guaranteed, kwanza ukute alikua hana hata huyo boyfriend ila sababu kashindwa jinsi ya kumuingia Top Thinker, kaona aseme hivo kama vile kumfungua akili jamaa, ili aone kua she is a free person. Na kama ulivoona it has worked mpaka Top T anawaza kumuacha wa Mkoani....
   
 19. BECHO

  BECHO Member

  #19
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Fimbo ya mbali haiui nyoka ni msemo. kama kweli unampenda uliyenaye unbali siyo tatizo. Huyo mwingine isije kuwa anatafuta njia ya kuharibu penzi lenu. Take care.....
   
 20. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa.
   
Loading...