"Staili" ya kuoa suria kwa wachaga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Staili" ya kuoa suria kwa wachaga...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Oct 2, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Katika baadhi ya maeneo ya uchagani hasa Rombo, kuoa suria ina maana kuishi na mwanamke bila ndoa. Sasa nakumbuka staili iliyokuwa inatumika mabayo kuna jamaa yangu ananiambia anataka akaipraktiz hivi punde. Inakuwa unachofanya ni kumshawishi dada mkawa na ukaribu, au hata uchumba na akawa anakutembelea kwako. Siku ya siku ikifika unamfungia ndani kwa nguvu, unamshulikia had asubuhi, baada ya hapo anakuwa mkeo na harudi tena kwao.

  Staili hii ya kufungia ndani ikishindikana basi unatafuta jamaa zako wanamvizia barabarani wanambeba mzegamzega had kwako, unashuhulika nae had asubuhi then anakuwa mkeo. Nakumbuka nilishawahi ku-facilitate sana hii kitu. Hata hivyo ilikuja kuanza kupungua baada ya midada kuwa nunda, inashuhulikiwa hadi asubuhi lakini bado inatoroka inarudi kwao, na wengine wakawa wanafungua kesi za ubakaji, ndipo wanaume wakaanza kuacha hii staili, japo ipo kidogo kidogo.

  Faida ya hii staili ilikuwa mtu unaweza kuoa demu hata kama yeye hakutaki, ili mradi tu ufanikiwe kumkamata. Kinachofurahisha hata wazazi walikuwa wanaunga mkono na kusaidia sana vijana wao wa kiume kufanya hii kitu. Sijui vijana walikuwa hawajui kutongoza!!!?
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tuko ..............si lazima amshughulikie hata akimchukua na kumfungia tu ndani kwake ilimradi tu binti hakulala kwa wazazi au ndugu zake. Tayari umeoa! Ila ilikuwa zamani jamani loh mbona mlikuwa mnawaonea mabinti? Sasa kama ndo kaja The Boss mie sina mpango naye kabisa kaniteka na kunifungia kwake ina maana naolewa naye??
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Inabidi tu uolewe na MJ1 maana umeshalala kwake... na kila mtu anajua kijijini..
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Dada hii kitu bado ipo asikwambie mtu kuwa imeisha. Binafsi niliambiwa hii ngoma bado inaendelea tena kwa sana ru. Sema wachaga ni watu wa siri sana hawaweki hadharani mambo yao ndiyo maana huwa hawapendi hata watoto wao wa kiume waoe makabila mengine wakihofia mambo haya yao kujulikana na watu wa 'mataifa'.

  Pia kuna hii ya wazazi kutembea na wake za watoto wao ambao wako mikoani wakitafuta mali. Hili nalo ni kweli, we ukioa then unamuacha mkeo kwenu uchagani migombani, basi baba huwa anapasha moto wakati mtoto haupo na kama akipata mimba mtoto atahesabika ni wako wewe mtoto na sio wa baba.

  Pia kuna hii ya wazazi kuwaamkia watoto wao wa kuwazaa, kisa eti wana hela. Mila nyingine bwana ni vichekesho kwa kwenda mbele
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Huko mwanamke hakuna kupenda ndugu. Utajifunza kupenda wakati tayari uko kwenye ndoa
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nani kakwambia wachaga wanajua kutongoza mkuu, zao ni kubeba tu kama fisi anavyobeba mzoga
   
 7. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tuko hii kitu ilikuwa zamani sana,nadhani ilianza kupotea in the late 90 kama sikosei,kuhusu suria kwetu kibosho ni pale unapokuwa hamjafunga ndoa kanisani wote mnachukuliwa kama suria na wazazi wako huwa hadi kanisani wanatengwa fulani hivi na hili hupelekea presha kwa nyie vijana muoane ili wao watambulike na kupewa huduma za kiroho,Ndyoko taratibu mkuu wachagga wanatongoza bwana acha hizo.
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mkuu hii kitu wanasema ni kudumisha ukoo. Sasa wewe unataka ukiacha mkeo akapashwe na watu ambao hata ukoo hamna. Bora dingi maana hata akipata mimba ni damu yako...
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Propaganda....

  Mambo yakufikirika sio uhalisia!

  Propaganda.....


  Yeahh nimewahi kusikia kuhusu hiyo kitu...uzuri wake ni kwamba tu ikitokea msichana na mvulana wanapendana hata kama wazazi wao hawawakubali pamoja bado walikua na nafasi ya kua pamoja!!
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Haijaisha mkuu, ipo sana tu na hata krismas ya mwaka jana kuna jamaa kaoa hivo...

  Hivi unakumbuka vituko vyake? Kwa mfano ilikuwa ukishamfungia ndani, jamaa au kaka zako wanasikiliza kwa dirishani, ikiwa hugongi wanakugongea wanakufokea. binti akitaka kuleta ukorofi wanakushikia, ukishindwa wanakusaidia... hahaha.....
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Can you imagine kama ungeenda huko ukakutana na hii dhahama ya kufungiwa ndani...
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ningeenda???
  Ndio kwetu...and I wouldn't mind if I liked the guy!!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Oct 2, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hizi mila za Wachaga hizi.....mara wababa wanalala na mabinti zao wao mwisho....mara sijui nini..aaah! Sijui hata ukweli ni upi.
   
 14. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Du hii haina tofauti na niangusage sambi sako mwenyewe.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni ule unaofunikwa na uongo!!!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 2, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu hapa Disemba mwaka jana alikuja na kashfa na kudai kwamba watoto wa mwisho wa kike wa Kichaga huwaga wanalalwa na baba zao wa kuwazaa.

  Na sikuona watu kupinga zaidi ya Eng. Nsiande aliyesimama kidete kupinga. Hapo unasemaje Lizzy? Ni kweli akina Manka huwa wanaingiliwa na baba zao?
   
 17. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tuko imepungua kwa kiasi kikubwa sana,nakumbuka miaka ya 90 mwanzoni hali ilikuwa balaa yaani hiyo dec lazima wasichana sio chini ya 10 waondoke kwa staili hiyo,lakini last yr nilikuwa kijijini sikusikia hata moja,sio nzuri haswa pale binti anapokuwa hajamkubali jamaa it is some sort of brutality i must say manake kuna moja nakumbuka nikiwa primary aligomea mlangoni alipigwa makofi ya ukweli ilibidi aingie tu,kuhusu swala la wazee kwa kweli siwezi kuliongelea labda hukoo zamani hili la kuzaa na wake za watoto wao.Lizzy usiombee hii ishu ikukute utajuta if u don't like the guy ofcourse
   
 18. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  NN what i can say is some stuffs about chagga are all about generalization,just because it happens to a certain chagga family then all chaggas are like that,where i come from i have never heard about Manka's sleeping with their father's,i grew up in Kibosho to be precise and in no time i came around such an instance.
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Uwongo mtupu.
  Watu wamechoshwa na hayo maneno ndio maana wakati mwingine wanaamua wajinyamazie tu.
  Tatizoni kwamba MIAFRIKA ikiona watu wa jinsia tofauti wako karibu/wanapendana wanaanza kufikiria ngono. Watoto wa mwisho wa kike hua wanapendwa zaidi na baba zao na wa kiume na mama zao...sasa huo ukaribu ndo unaotafsiriwa hivyo na wale wasiojua kwamba kumpenda mtoto wako wa jinsia tofauti na yako ni jambo la kawaida kabisa.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha....yeahhh kama humpendi ni noma!!
  Ila ukute nilikua namzimia kisirisiri...ahhh najichekea tu mwenyewe!!
   
Loading...