Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
tafadhali msaada wako unaweza kuinusuru roho ya dada huyu
kuna shost wangu anampenda sana mume wa mtu kinoma yani na kabla ya kuingia ktk mahusiano na huyo jamaa aliambiwa ka jamaa anamke na mtoto wakiume ila hakuamini na alipomuuliza huyo msela akamwambia hana wakaishi kwa mda wa miaka 2 hapo chuoni hadi shost wangu kapata mimba na kazaa mtoto wa kiume na sasa yuko na mwaka mmoja .huyo bwana sasa kamaliza skul na kuondoka msichana bado miaka 3 ndio amalize skul na wakati wakiishi wote mwanamme alikua nampiga snaa hata kipindi akiwa na mimba aliwai kumpiga mara mbili na hata alipojifungua wakati akiwa na wiki 2 tu toka atoke medical mshikaji alimwambia wajamiiane ali[okataa alimpiga na baadae kujamiana nae
yani alikua anamtesa sana shost wangu ila kila tuli[pomuambia a,muache alikua anasema anampenda sana ndio mana na haoni mwingine walishawai kuachana miezi sita ila shost wangu akawa na mtu mwingine ila alishindwa kukaa naye koz anampenda sana msela akarudi kwake ila pamoja na kurudi kipondo hakikuacha kuendelea na masharti makali na mpaka ana mialama mikononi na mwili sana tu koz ya huyo msela
sasa mi nikamwambia mwache akajibu cwez koz nampenda sana na sioni mwingine yani simpendi mwingine
sasa msela yuko kwao huko ndio anafanya mipango ya kumuacha yule mke wakle wa kwanza ili amuoe huyu sasa shost wangu ila kitu kinagoma kwani yule mama hataki kuachwa naye lo!
SASA KAMA MUNGU TU AMETOKEA KIJANA MMOJA ANAMPENDA SANA HUYU SHOST WANGU KWA MADAI YAKE KOZ CJAMUJUA BADO KA NAYE ANAMAANISHA AU LAH!.........Ila ye yuko bado anasikilizia wale waachane utafikiri kawekewa dawa mwe!
asa yuko dilema amuamini huyu mpya au amungoje yule comandoo wake huko au?????
 
Nemo

JF-Expert Member
Feb 22, 2011
751
1,308

AMINATA
Huyo shosti wako naye hovyo..............................Jamaa ni mume wa mtu , isitoshe anampiga na mialama anatokea. Hata kama hampendi au kumtaka huyo jamaa mpya exactly what else is she waiting for from the other guy? Jamani hivi kumbe bado kuna wanawake this stupid karne hii!???
 
Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,325
9,960
mapenzi kitu cha ajabu sana,namfahamu baba mmoja ambaye huwa anamfungulia mlango mkewe asubuhi akitoka kwa mahawara zake,yaani we acha tu,wala sio uchawi ni udhaifu wa roho tu. Aminata huyo shosti wako wala asikuumize kichwa,anachokitafuta atakipata tu.
 
valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,843
835
Duh...hapo ni kigeugeu tu.hata huyo mpya nae atakuwa kigeugue pia.na wewe ulieleta hii umbea,unaweza ukawa kigeugeu!
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
AMINATA
Huyo shosti wako naye hovyo..............................Jamaa ni mume wa mtu , isitoshe anampiga na mialama anatokea. Hata kama hampendi au kumtaka huyo jamaa mpya exactly what else is she waiting for from the other guy? Jamani hivi kumbe bado kuna wanawake this stupid karne hii!???
usiseme ivo mapenzi upofu shoga we
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
mapenzi kitu cha ajabu sana,namfahamu baba mmoja ambaye huwa anamfungulia mlango mkewe asubuhi akitoka kwa mahawara zake,yaani we acha tu,wala sio uchawi ni udhaifu wa roho tu. Aminata huyo shosti wako wala asikuumize kichwa,anachokitafuta atakipata tu.
atapata nn sasa kifo au mana mi nilimwambia atakuja kukua huyu ww au hadi akutoe meno ndio ujue hakupendi .................ila huwez jua labda ndio style ya msela ku show love kwa mademu zake je who knows
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
Duh...hapo ni kigeugeu tu.hata huyo mpya nae atakuwa kigeugue pia.na wewe ulieleta hii umbea,unaweza ukawa kigeugeu!
hakuna ugeugeu hapa ni true story na kama imekuboa sio lazima kuchangi achia ngazi kwa wenye busara zao wajibu hili .....................inahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Nemo

JF-Expert Member
Feb 22, 2011
751
1,308
mapenzi kitu cha ajabu sana,namfahamu baba mmoja ambaye huwa anamfungulia mlango mkewe asubuhi akitoka kwa mahawara zake,yaani we acha tu,wala sio uchawi ni udhaifu wa roho tu. Aminata huyo shosti wako wala asikuumize kichwa,anachokitafuta atakipata tu.

Bishanga
Huyo baba mme *****.!!!
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,414
58,025
mpenzi mwenzio mapenzi ya vipigo siyawezi. Naombea tu yasinikute na yakinikuta sitojifikiria mara mbili.

weitaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!! mpe husninyo nyama choma na kinywaji hapo.mimi mwenyewe dada yangu kama akipigwa na mumewe tunamfuata .. Nani anapenda ndugu yake awe na chongo au kilema cha maisha?
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
Duh.................upofu kwa mtu anayekupiga dear,achilia mbali the fact that ni mume wa mtu!!!!!??

P.S
Natoa wito wanawake wenzangu, jamani katika mapenzi there has to be a line, pls pls always make sure you have one and you stick to it
word mpz
 
AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,128
640
mpenzi mwenzio mapenzi ya vipigo siyawezi. Naombea tu yasinikute na yakinikuta sitojifikiria mara mbili.
hujawai kupenda ww kuna watu wakipenda wanapenda kweli...............si bora ye hajapenda kufikia pale pa kujinyonga bado ina mana hajafikia hali mbaya saaaaaaaaaaaaana anaweza kuokolewa au nakosea mamito
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom