nasikiliza kipindikimoja wanadai
wanaofanza duty za usikukurudi asbh wengi wamepoteza imani kama
awapo kwenye ndoa na hata waliopo wanaishi kwa matumaini
ukiwa kama mwanandoa siongeleei...
Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana...
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume...
Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.
Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great...
Wakubwa shikamooni
Wadogo marakhaba..
Wengineo mambo zenu..
Nway mie ningependa kuuliza
Nyimbo gani za harusi nzuri ..?
Au nyimbo gani zilikuwa kwenye harusi yako.?
Na kama bado hauja...
Jamani mapenzi nikitu muhimu na mapenzi nikitu chakushikwa kama chupa yenye madini ya nyukilia!!Namapenzi nikitu kigumu kuyahandle hivyo vyote nikuonyesha mapenzi nikilakitu kwenye maisha...
Kufuatia utafiti uliofanywa East, Southern and Western Africa, imegundulika kuwa wanawake wenye 'maamuzi ya mwisho' juu ya sex ndani ya ndoa zao hupata huduma hiyo less than wale ambao waumezao...
Sijui lengo la vyandarua hivi vya JK ni nini zaidi ya
kutukinga na malaria,....
Naona kama vina punguza nguvu za kiume ingawa kwenye
tangazo lao wana kana kata kata.
Toka nimeanza kutumia...
Jamani nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini wanaume huwa tunapenda sana, kila jambo baya linalohusiana na mapenzi, kuwazushia wanawake kuwa ndio chimbuko la matatizo. Kwa mfano utakuta mtu anafanya...
Kuna majamaa wawili ambao wanafahamiana kwa muda mrefu tangu wakiwa masomoni, kwa bahati nzuri au mbaya wamejikuta kila mmoja anatarajia kufunga ndoa kwasababu zisizozuilika mwezi wa kumi na moja...
LONDON, Sept 30 (Reuters) - The wife of an MP was found guilty of burglary on Friday after being caught on camera breaking into his lover's home and stealing her kitten.
Christine Hemming, 53...
Jamani niko serias natafuta private consultant ambae anaweza kunishauri. Nataka nianze maisha yangu upyaa.nina mambo mengi kichwani nahisi kichwa kinataka kuburst. Aweze kunishauri katika nyanja...
tafadhali msaada wako unaweza kuinusuru roho ya dada huyu
kuna shost wangu anampenda sana mume wa mtu kinoma yani na kabla ya kuingia ktk mahusiano na huyo jamaa aliambiwa ka jamaa anamke na mtoto...
Katika baadhi ya maeneo ya uchagani hasa Rombo, kuoa suria ina maana kuishi na mwanamke bila ndoa. Sasa nakumbuka staili iliyokuwa inatumika mabayo kuna jamaa yangu ananiambia anataka akaipraktiz...
kuna kijana mmoja ni single kwa madai yake koz cjamfahamu mda c mrefu so i cant tell more abt him ila kitu nilichojifunza kwake ni kama
1.anapenda utani sana wakati mm sipendi...........yani...