Hivi hili linawezekana! (2 in 1) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hili linawezekana! (2 in 1)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DASA, Oct 4, 2011.

 1. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Kuna majamaa wawili ambao wanafahamiana kwa muda mrefu tangu wakiwa masomoni, kwa bahati nzuri au mbaya wamejikuta kila mmoja anatarajia kufunga ndoa kwasababu zisizozuilika mwezi wa kumi na moja mwishoni. Sasa kila mmoja ana tatizo la pesa, kwahiyo maandalizi kwao yanakuwa magumu ukizingatia na gharama za kufanya harusi hapa Dar. Sasa walipogundua kwamba matatizo yao yanafanana wameamua kufanya harusi kwa pamoja siku moja na kwamba watashare ukumbi na mambo mengine yote yatakayowezekana kushare. Sasa katika harakati za kupunguza gharama wanafikiria pia kila mmoja awe bestman wa mwenzie na wake zao watarajiwa kila mmoja awe matron wa mwenzie hiyo siku ya harusi.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Sasa jamani hivi hili kweli linawezekana!, kuna mtu ameshawahi shuhudia kitu kama hiki!, na kama inawezekana nashindwa kupata picha kanisani na ukumbini shughuli itakuwa inaendeshwa vipi!.[/FONT]
   
 2. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Inawezekana tu, kwa sababu maana ya ndoa sio sherehe, halafu mambo mengine ni mbwembwe tu,.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  no, napinga kabisa. utakuwaje best man wakati hujaoa? ubahili mngine bwana...
   
 4. N

  Natalie Senior Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao watu ni noma, si bora waende tu kanisani halafu warudi nyumbani na wake zao watulie, wakipata hela hata mwaka ujao wavae nguo zao za harusi, waende kanisani wakarudie nadhiri yao ya ndoa halafu wafanye sherehe.
   
 5. Yuri G

  Yuri G Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  inawezekana kwani arusi ni kanisani ukumbini ni sehemu ya kufurahi na kupongezana.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Sema ni wewe,ucwasingzie wa2 wengne mkuu,acha ubahili.
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Sijui kwanini watu wanataka makubwa wakati hawayawezi.ebu mwambie huyu rafiki yako ajikune anapojifikia....
   
 8. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wazo zuri mkuu we fanya hiyo kitu inawezekana kabisa, harusi sio sherehe kuuubwa kihivyo
  wengi wetu huwa tunapenda kujionyesha tunazo ndio maana tunafanya shere kuuubwa
   
 9. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hata kama ni mimi tatizo liko wapi!!, hoja inabaki paleple... inawezekana!
   
 10. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasa suale ni hizo taratibu za ndoa zinaweza kufanyika hasa hapo kanisani katika hali hiyo. hapa ni kama unaelewa taratibu za ndoa kanisani.
   
 11. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tatizo mkuu masuala ya ukumbini sio tatizo, watu watachangia angalau hata kitu kidogo kwa ajili ya ukumbusho kinaweza kufanyika. swala hapa ni hizo taratibu za kanisani kama zinaruhusu hivyo.
   
 12. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Fungeni ndoa kanisani, baada ya hapo andaa sherehe ndogo hata ya nyumbani ambayo haina gharama ya ukumbi. Hapo nyumbani wapishi ni nduguzo mwenyewe nahisi itafana kuliko kwenda kwenye liukumbi likuuuubwa halafu huna uwezo nalo.
   
 13. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  siwatakuwa wameishafunga ndoa wote siku hiyo?
   
 14. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hahaa,hii ya kila mmoja awe mpambe wa mwenziwe sijawahi sikia,kushare ukumbi nimeona!kweli shida ni kipimo cha akili.....mimi sioni kama kuna shida yoyote ila nachoshindwa kushangaa kwa nini watake makubwa wakati uwezo hamna?wanawezafunga then wanarudi home,kanisani ndio kitu cha msingi haya mengine ya mtaani tu...mbwemwe tu
   
 15. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hahaa,hii ya kila mmoja awe mpambe wa mwenziwe sijawahi sikia,kushare ukumbi nimeona!kweli shida ni kipimo cha akili.....mimi sioni kama kuna shida yoyote ila nachoshindwa kushangaa kwa nini watake makubwa wakati uwezo hamna?wanawezafunga then wanarudi home,kanisani ndio kitu cha msingi haya mengine ya mtaani tu...mbwembwe tu
   
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sijawhi ckia kitu kama hiki, labda wakaulize kanisani wanakotaka kwenda kufungia hiyo ndoa yao wapewe utaratibu huo kama upo, nawashauri km ishu ni hela wafunge ndoa kama kawaida sherehe za ukumbini watafanya watakapopata hela wakati mwingine.
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mi naona ni sawa tu,basicaly ndoa ni mkataba,best/matron ni mashahidi wa mkataba.
   
 18. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Unajua Watanzania wengi tunapenda wenyewe ugumu wa maisha kwasababu zifuatazo;
  1. Sio lazima kila sherehe ya harusi ikafanyike ukumbini sababu gharama zake ni kubwa mno hivyo ni lazima ujifunge kibwebwe, Gharama zenyewe zatokana na a) Gharama ya ukumbi wenyewe b) Gharama za Upambaji wa ukumbi c) Gharama za vyakula na vinywaji d) Gharama za usafiri.
  Watu wengi tunapenda gharama ambazo hatuna uwezo nazo hivyo Fanya kitu kutokana na uwezo wako, hata hivyo kizuri gharama bwana
   
 19. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  alosema mpaka uoe nani,bestman/matron ni ma witness tu wa mkataba wa ndoa,all you need ni kuwa na umri wa kushuhudia mkataba na sio kuoa/kuolewa.
   
 20. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ubahili ukizidi tabu tupu!!
   
Loading...