Nifanyeje

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
NINA Jirani na ninao ishi kuna msichana (BINTI WA MWENYE NYUMBA NILIPO PANGA), ni rafiki na jirani yangu (tanga).
Kitu ninacho shindana naye, anataka nimwoe. Na imefika wakati sasa hataki nionekane na mwanamke wingine pamoja na kuwa nimemwambia wazo hilo kwangu halipo.
Lakini bado anang'ang'ania hadi anatoa machozi sometimes.

Yupo radhi aache mbambo yake kwa ajili yangu na ninahisi wazazi wake wanajua kuwa mimi ndoo mkwe wao wakati maskini sina hata wazo hilo.

Sina mpango wa kumwoa, na wala haniingii akilini. Nategemea nihame tuu nikaishi mbali.
 

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
82
.................................................................ni rafiki na jirani yangu (tanga).
Hapo kwenye RED Kuna''walakini''.......nyoosha maelezo vizuri kijana.....alikuwa rafiki katika mantiki ipi(Sababu hata ''Girlfriend'' huku uswazi inamaana ya rafiki wa kawaida na waki'mapenzi pia)?
Maana hawezi akawa anaku-ng'ang'ania bure bure tu........
 

the grate

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
204
36
Kama ana qualification unazotaka beba chombo kama hana 2mia hekima na busara kumtema ili kuepusha maumivu
 

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
Hapo kwenye RED Kuna''walakini''.......nyoosha maelezo vizuri kijana.....alikuwa rafiki katika mantiki ipi(Sababu hata ''Girlfriend'' huku uswazi inamaana ya rafiki wa kawaida na waki'mapenzi pia)?
Maana hawezi akawa anaku-ng'ang'ania bure bure tu........
Ni rafiki tuu wa kuongea naye, sina kitu chake, wala sijawahi onyesha dalili zozote za kumtaka kimapenzi.
 

hayaka

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
474
100
then temana naye mapema . Tena mchane live sioni ni kwa nini anakung'ang'ania kama hamna uhusiano.
 

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
then temana naye mapema . Tena mchane live sioni ni kwa nini anakung'ang'ania kama hamna uhusiano.

tatizo ni binti wa mwenye nyumba. Subiri nihamishe makazi asije akanipandishia pango;
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
sijui kwa nini wakati wa usiku ni thread za ajabu ajabu tu zinazoingia humu jamvini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom