tone moja tu la ziada laweza kukuumbua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tone moja tu la ziada laweza kukuumbua

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AMINATA 9, Oct 14, 2011.

 1. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  umeenda club huko ume enjoy vakutosha na ukaamua kuchukua dem au msela wa kupunguza maukame ya miaka nenda rudi ......... stress.jpg
  mnacheza game ucku kucha na kulala fofofo zen mnapoamka asubui unaanza kujilaumu bada ya kukuta umelala na mtu ambaye hata ungekuta naye asubui au mchana huo angekuuliza tu umuelekeze njia mbalia na kukusalimia usingemjibu ila koz ya pombe jana umelala nae na kula tunda ucku kucha ..............ungekua ww ungefanyaje ungejiloweka na omo wiki nzima au ungekata baadhi ya sehemu zako na kuzitupa???????????? wakati we wawaza hayo mwenzio anakushukuru kwa bahati uliyompa ya kula tunda na weye ....ahhaaaaaa utasonyajeeeee
  stress2.jpg
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ah hapo inabidi nikaliane na ujinga wangu.....ila no more contact na huyo mtu
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ebana eeh daaah! Umenikumbusha enzi za ushababi wangu.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haya mambo yapo sana. Ukiwa club almost kila mwanamke anaonekana mzuri. Cha muhimu ni kuangalia mashine yake! Je ilikuwa bomba? Anaweza akawa mzuri wa sura na umbo but mashine yake ikawa ovyo!
   
 5. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samahani nimepotea huku ni kwa vijana wa club.
   
 6. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hivi hii njia inatokea mtaa gan?? Nahsi nimepotea kupita huku...
   
 7. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Inatokea sana wakubwa..Nadhani Ukiashagundua kama 'umetoka' na demu/msela ambaye sio..dawa ni KUACHA tu!..pombe sio dawa!!!
   
 8. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mwaka gani huo hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 9. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wakati ww wataka kuacha mwenzio ndio kakolea kinoma yani
   
 10. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa mwanamke sio sura!
   
 12. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  pombe mbaya sana kadri masaa yanavosonga inaweza mbadilisha betina mpaka kuwa zena hahaaa nimekumbuka vijarida vya sani
   
 13. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapo hujawazia kama umeukwaa ama vipi maana ukiwa pombe ni nadra kukumbuka kinga!
   
 14. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Sio Sex tu, na kitu kinakatikia halafu kinakata kutoka hapo unaonaje?
   
 15. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kawaida hiyo haina kujutia
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mh?? hebu tupe na wewe kapiriensi kidogo
   
 17. M

  Magoo JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 438
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mhh unatema mate chini unasonga mbeele
   
 18. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahaaaaaaaaaaaaaaaa hapo chacha
   
 19. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulevi ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 20. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  we nae mkari..mashine yake unaoionaje? Au unapima oil?
   
Loading...