Mnajua kwamba nyama ya Kuku wa kienyeji ni tamu?

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Kuna thread moja nimeiona jamvini kama siku mbili tatu zilizopita (bahati mbaya sikumbuki ilirushwa na nani..., naomba mnisamehe kwa hili). Kifupi mrushaji wa thread hiyo (nahisi alikuwa ni m-beijing) alitaka kujua toka kwetu "wahusika" kama alivyotuita, kwamba tunataka wake zetu wawe na sifa zipi ili at least mtu unapotoka mbele ya "wahusika" wenzako unaweza kujisifia kwamba 'yes..!' mimi nina mwanamke haswaaa...! Jamani "wahusika" wenzangu nashuru sana mlimpa m-beijing huyu kitu ambacho nahisi kitamsaidia kumfanya "mhusika" mwenzetu ajisifie kuhusu mwanaJF huyu. Labda pamoja na majibu mazuri toka kwa "wahusika" wenzangu, naomba niwaulize wa-beijing humu jamvini; hivi mnajua kwamba mara nyingi vipodozi mnavyotumia huwa vinapunguza utamu au ladha ya 'mzigo' huo hapo bondeni? Kwa mujibu wa upekuzi niliowahi kuufanya nimegundua kwamba 'nyama ya kuku wa kienyeji' huwa ni tamu jamani..! Mimi mchango wangu kwa m-beijing huyu ni kwamba moja ya qualification ya my wife ni kwamba awe ni 'kuku wa kienyeji bana..! Hata Mamuu ni wa hivi hivi; tatizo lake ni hili la kutekenyeka saana wakati nachezea au kunyonya chuchu zake tu. Punguzeni uzuri wa dukani jamani mnogeshe mambo pale kwa six by six...! Samahani jamani ni ushauri wa bure tu, sio lazima sana, kama unapendelea yale 'mananihii' ya kichina sawa, lakini kaa ukijua habari ndio hii...! Karibuni.
 

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
307
Kuku wa kienyeji mtamu bwana asikwambie mtu, tena na ile harufu ya kashombo kidogo ndo mzuka.
 

hayaka

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
474
100
tena upate yule kuku wa kienyeji ambaye hajazeeka sana utamu wake hausimuliki.
 

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Mkuu Wa Ndima hata embe kama haina harufu utaipenda ndugu yangu? Hiyo shombo ndio chachandu ya kukatia fyuzi. Si unaonaga beberu anavyokataga fyuzi? Hiyo ndio habari yenyewe...
 

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Najua mkitoka hapo mtaingia kwenye mjadala wa bata wa kienyeji mtamu, kwaherini!

Mkuu hayo ya bata ni yako mwenyewe, usituhusishe kabisaa..., maana hata shetani kishtukia kwamba ishu ndo inaelekea huko huwa anaingia mitini. Hataki ushahidi maana adhabu yake ni kubwa kuliko maelezo...
 

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,891
1,190
Tatizo ni kwamba hivi vikuku vya kienyeji ukivichukue ukavipeleka mjini vikaanza kulanda landa mitaani na makuku ya kisasa, havikawii kujikuta vimebadilika na kuwa kuku wa kisasa. Labda kama utaamua kufugia huko huko vijijini.
 

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
Tatizo ni kwamba hivi vikuku vya kienyeji ukivichukue ukavipeleka mjini vikaanza kulanda landa mitaani na makuku ya kisasa, havikawii kujikuta vimebadilika na kuwa kuku wa kisasa. Labda kama utaamua kufugia huko huko vijijini.

Hujui kuchagua kuku mkuu. Tafuta darasa utaelewa tu..., Kwani hujui kama kuna "ma-bao jero?" usichanganye habari mzee. Bao jero na kuku wa kienyeji ni vitu tofauti mkuu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom