Wapendwa hapa JF za siku, bila shaka wengi wetu hapa ni wapenzi wa mitandao mbalix2, ukiwemo wa fb, jitahadharini sana sana na huu mtandaoo, umeshavunja uhusiano wa wapenzi wengi sana, na sbb hizi...
Why does love feel so good? By Helen Fisher, Ph.D.
Tell me where is fancy bred, in the heart, or in the head? asked Shakespeare. He was one of millions who, over the centuries, have wondered...
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
Jamani hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda sasa ndani ya nyumba! Hivi karibuni nimefunga cable service kutoka kwenye kampuni moja hapa nnapoishi. Binafsi hawa jamaa wana channel nyingi za mpira...
Salamu wanaJF, Mimi ni kijana wakiume, naombeni mnielimishe kuhusu nyota! Mtu akikwambia nyota yako haingai au inamatatizo inamaana gani? Kwa takribani miaka 3 sasa nimekuwa naplani nzuri za...
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!
Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba...
Hakika she loves for real....she gave me her love, her trust and everything...she loves me much better, better than i love myself but the problem is i dont love her, inaniuma sana kuona huyu binti...
Habari za leo ndugu zangu kama mnakumbuka kichwa cha habari hapo juu leo nimekutana na wahusika na nimewapa ushauri wenu ila nilitumia njia ya kuchunguza kama ujauzito ni kweli wa rafiki yangu kwa...
Kama imetokea, ni mara chache sana wanaume wanaonunua miili ya wanawake kuzongwa na jamii. Kama ikitokea ni pale tu mwanaume fulani anaposhindwa kujilinda ipasavyo hadi siri yake ya kwenda kwa...
Imefika mahali mwanamke anasema "I'm leaving you" au "Naondoka" na anaweza hata kuanza kufunga virago na hata kukata tiketi. Je ina maana gani? Je mwanamme afanye nini? Je anatingisha kiberiti tu...
Jamani wana jamvi, hili linatusumbua sana. Utashangaa wakati wa uchumba na urafiki watu wanakuwa na mapenzi tele, wanakumbatiana na mengine mengi! wanapendana na kuambiana you mean the world to...
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza...
Habarini, Rafiki yangu kaniomba ushauri. Anasema wanapokuwa
kwenye chakula cha usiku Mumewe hafiki kileleni. Badala yake hutumia
masturbation ili kuweza kukidhi haja zake. Ni jambo ambalo...
Bila shaka hata wewe umeshawahi kukutana na kauli kama hii kutoka kwa wanaume, wengi wao wakiwa ni wale ambao umri unazidi kusonga lakini wakiwa bado hawajapata wenza wa kuoa na kujenga familia...