Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Darling, I feel shocked with this silent situation, like I have upset you. Don't hold to tell the truth because it pains me when you are hurt. Please dear let me know!
1 Reactions
1 Replies
64K Views
Kabla ya ndoa, wanandoa huwa na ndoto tamutamu ambazo sio halisi kuhusu ndoa. Kwa kuwa tuna hizi ndoto tamu, tunapokuja kuingia kwenye ndoa na kugundua kwamba tulichofikiria hakipo, ndipo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Imepungua kwa Albino sasa imehamia kwa wanaume!! "Uchawi mpya umeibuka nchini Zimbabwe ambapo mbegu za uzazi za wanaume zimekuwa dili kiasi cha kundi la wanawake kuwabaka wanaume na kisha kuiba...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
wakuu tushirikishane katika hili, hivi hii kitu "Love at first sight" ina exist na inakua ni real au ni sahihi kusema "Tamaa at first sight"?.. amani kwenu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, naomba ushauri katika mkwamo huu!Nilimpa mke wangu gari atumie kwa ajili ya shughuli zake za biashara ya duka la nguo. Kwa kwenda na kurudi nyumbani na kwa ajili ya kufuatilia mabo ya...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
Ni zaidi ya mwaka sasa nilikuwa Nchi za watu hakika nilikuwa katika wakati mgumu sana kila nilipojaribu wenyeji wa huku kweli walikuwa ni wachoyo kupita kiasi na hata mimi niliogopa sana hata...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi, 1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa 2. ANAJISKIA na ANADHARAU...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Umeenda dangulo au sehemu yoyote Zinako patikana nyumba ndogo, umetongoza kama dakika mbili unagundua ni binti yako. Utafanyaje mzee mzima na ndevu zako??? Na binti anaende kumwambia mama.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Natanguliza salamu kwa wana jf wote nawatakieni afya njema.Naomba michangio yenu,me ni kijana wa makamo tu,bado nipo single kama miaka 3 nyuma nilipata kuanzisha urafiki na msichana,mwanzo wetu ni...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilikuja kwenu na Mume wangu hataki kubadilika....na wewe Fidel80,tito majala,King’ast,Magoo,BPM,Ashadii,Iza,neggirl,mtalingolo,Vin diesel,Kaunga ,Oak,Lokissa ,Shantel ,Mapujds ,Blackberry ,The...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
wakuu wana jf hapo moshi mpo?nategemea kutemebelea moshi siku za karibuni,naombeni taarifa juu ya kupata ofisi za biashara na gharama zake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa akina dada wa Jf na wana MMU ( LOVE Connect), poleni na pilika za hapa na pale. Mimi najitokeza hapa kwa lengo la kutafuta mchumba (binti ambaye yupo very serious) mwenye nia thabiti...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamii? Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya. Kiukweli cjawah...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Yani kila nikipiga simu kuongea na na wangu wa moyon, Bibi yake Mzaa Mama lazima atataka kunisalimia,akipewa Line tu ataanza na Ma Kiss ya ajabu anbayo hata wifi/shemej yenu anakiri hajafikia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ilikuwa ni mwaka 1987, wakati huo nilikuwa naishi na kaka yangu mkubwa maeneo ya Kinondoni Msufini. Basi siku moja asubuhi tukapata mgeni na hakuwa mwingine bali ni mjomba wetu ambaye alikuwa ni...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani leo nimemkumbuka Daudi Kabaka, enzi hizo ndio nilikuwa namchumbia mama Ngina wangu……………….. Hebu sikiliza huu wimbo...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo). (Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Najua siku za karibuni mada ya wasaidizi wa nyumbani zimekua nyingi,lakini swali hili litaweza kujaribu kuona namna wanandoa wanavyotazamaHebu fikiri umeolewa,wewe ni muajiriwa pamoja na mumeo nae...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari zenyu jf natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife baadaye tafadhali ni pm kama uko tiyari Nb:asiwe mwenye mtoto ama kuachika awe mkiristu umri 20
0 Reactions
3 Replies
2K Views
....Naomba Bebii uni-PM tafadhali,naona unafaa kuwa mwenzi wangu wa maisha.
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom