Mchumba wangu/wako

Jpinduzi

Senior Member
Feb 26, 2011
136
68
Mchumba ni mtu uliemteuwa awe mwanandowa wako katika maisha yako ya baadae,katika uteuzi wa mchumba wahusika wengi wasiku hizi hufanya pupa hatimae hukosa uangalifu wa kuweza kugundua ni nani mchumba mzuri na yupi hafai wakati wanapochaguwa wachumba zao japo ambalo huwa sababishia kupata wachumba wasio saa izi yao au wasio na mwenendo mwema katika maisha yao ya ndoa hatmae huwakumba majuto na adha ya maisha katika ndoa
TARATIBU ZA KUTAFUTA MCHUMBA
katika utafutaji wa mchumba muhusika yoyote kabla ya kutafuta anahitajika kuzingatia vigezo vifuatavyo
Maamuzi ya nafsi yake ni lazima muhusika aangalie kwa kina maisha yake na aamue kiukweli kwamba ana hitajia mchumba kwa ajili ya ndoa na si vinginevyo
Ashauri wazee na marafiki zake waliowema
Atulize matamanio yake kwa kipindi chote cha utafutaji ili asijejikuta anavamia asiemtaka
Awe na subira na ustahamilivu
Achaguwe anaempenda
Awe mchunguzi kwa yule aliyemchaguwa kabla ya kumwambia​
Asikubali vishawishi na wala asishawishike kwa chochote
NANI MCHUMBA MZURI?
Mchumba mzuri ni yule mwenye sifa zifuatazo
awe mkweli na mwaminifu
awe mtulivu
awe na huruma
awe na upendo wa dhati kwako
awe ni mwenye kukinai{kutosheka]
awe unaempenda
awe na heshima
asiwe mjeuri
awe msafi
awe na tabia njema katika mazingira aliyokulia
 
Back
Top Bottom