Yani unakuta demu umemtongoza tu hata wiki bado,mara anaanza kuomba vocha,mara hela ya kusuka,jamani yani ndio umenikubalia tu na hayo ndo yanaanza? Hii ikoje jamani?
Jaman leo hii na mda huu ninaoandka hii thread ni kama dakika 20 hv zmepita nimetoka kukutana na mdada m1 hv hapa m.city cmjui wala hanijui nkamfuata na kupga nae story sana tu nkamchekesha sana...
Sababu za Kusaliti Pendo
*Kutopata mapenzi ya kweli hasa ikiwa Kijana/Binti alilazimishwa kuoa/kuolewa na mtu ambaye hakumpenda for the sake of Radhi ya Wazazi, maadili, kuhofia umri n.k...
Sometimes its hard to contain ourselves but
do we ever ask ourselves -Why shout???
A psychology professor was teaching his
students. He asked his
students, "Why do we shout in anger? Why do...
Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization)...
habari zenu...wikend hii nipo mpweke sana hivyo natafuta company ya dada amabaye ataambatana nami beach tukapunge upepo
everything on me yeye awe na vifuatavyo
23-27 yrs
tall not less than 170cm...
Jirani yangu aliondoka juzi usiku akamuaga mkewe kuwa anaenda bar kuzuga. Hakurudi, akipigiwa simu zilikuwa zinasikika sauti za walevi, wake kwa waume. Mwisho simu ikawa haipatikani kabisa.
Leo...
Nipo katika mkoa wa kilimanjaro,nilikuwa najipatia msosi mahali moshi town, nikawa nimekaa meza moja na jamaa ghafla akaongezeka mama(around 30's).kumbe alikuwa mgen wa jamaa. Maongezi yao:
jamaa...
AISEE WANA JF, NATANGAZA KUTAFUTA THE DESPARATE HOUSEWIVES WHO ARE STRONG, BRAVE, OUTSPOKEN AND COURAGEOUS. MANY WILL BE SURPISE TO ASK WHY THE DESPARATE HOUSEWIVES. I AM REGARDING...
Wapwaz na binamz !
Leo imetimia miaka 10 tangu mpendwa baba yetu Mzee Paul Joune Sadiki alipoitwa na bwana tarehe 10 Novemba 2001!
Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na kazi kubwa aliyoifanya ya...
Hello wachumba, walimbwende, warembo, mkaza mme, chakula ya muzee, mnao tuvumilia kila siku, poleeeni na dunia hadaa, ukicheza vibaya dunia balaa, cheza vizuri mpate mwanaume mzuri kwa maisha...
Ni msela wangu wa karibu sana, anakaribia kufunga pingu za maisha very soon na mchumba wake, lets say R,
Jamaa alikuwa na Mahusiano na binti Flani hv lets say Q,
jamaa kamwambia live Q juu ya...
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko...
Muhali gani mabibi na mabwana!Mie mzima wa mwili ila mgonjwa kifkra.Nilibahatika kupata elimu mpaka ya chuo kikuu,niliajiriwa ila niliacha kazi kutokana na matatizo ya kifamilia yalonitaka kurudi...
Kuna kabinti kamoja nimetokea kukapenda..!, but nilipomweleza akanitolea nje.! Na kusema eti kana mchumba tayari, jamani wana jamvi naombeni msaada wenu nimwambie vp? Ili anielewe huyu dent maana...
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha mahakamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.