Nini maana ya 'Love Connect'?

QueenQueen

Member
Oct 6, 2011
26
17
Ebu tuelimishane.
Kwa muda mfupi niliojiunga JF nimekua nikisoma sana post za love connect na responses mbali mbali zinazotolewa na members and I must say am deeply dissapointed.
Naona hii ni section ya watu kuandika kama wanatafuta wapenzi then wasubiri kuzodolewa,discouragements,kejeli and all bad remarks.
Ndio kuna watu wako serious na wengine wanafanya jokes lakn sidhani kama love connect section inatendewa haki.
Queen
 
Haitendewi haki kabisa QQ.
Lakini watu huingia pm baada ya kutaniana sana hapa love connect.

usiogope kumtafuta mwenzi kupitia love connect maana najua kuwa love connect haimtupi mja wake .
 
aibu....
sasa queen wewe unakuwa discouraged becoz ya responce za watu kwenye hii section....kwani wewe umeshaweka ngondi yako hapa na kutopata response nzuri?
 
hiyo ni kweli kabisa hata mie inanikera sana,kwani duniani hapa kuna matatizo mengi mtu unaitaji kupata ushauri wa watu tofauti.matokeo yake mtu anakucrash kwa mineno ya kuumiza nafsi sana.jamani tutumie mtandao kwa manufaa ni kweli wapo watu wengi wanaitaji wapate wenza wema hivyo anahangaika wapi atampata ili afarijike.tuwe waungwana sie waafrika maadili mema jadi yetu.
 
Back
Top Bottom