Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Stigliz, Nov 8, 2011.

 1. S

  Stigliz Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muhali gani mabibi na mabwana!Mie mzima wa mwili ila mgonjwa kifkra.Nilibahatika kupata elimu mpaka ya chuo kikuu,niliajiriwa ila niliacha kazi kutokana na matatizo ya kifamilia yalonitaka kurudi nyumbani. Nilifanikiwa kutatua matatizo hayo yalodumu kwa muda mrefu ktk familia yetu.Mara niliporudi mjini miezi mingi baadae nikatafuta kazi pasi kufanikiwa ndipo nikabadili maamuzi na kutaka kujiajiri.

  Nilithubutu na imani yangu nitafika napoenda. NIMEKUTANA NA JIMAMA SINZA ktk mishemishe zangu za kijasiriamali na kuwa mteja wangu mzuri tu.Nilifurahi kupata mteja mwaminifu.Siku moja baada ya biashara yangu aliniuliza natumia pombe nikajibu hapana,sigara jibu ni hapana. Siku ilofuata akaniuliza starehe yangu ni ipi kwani anawajua vijana wa Udsm vyema ni watu wakujishetua, jibu langu ni kuwa na marafiki na kutumia muda mwingi chumbani kwangu kucheki muvi.

  Taratibu mama kaanza vtuko,mara nimkute na kanga nyepesi,kauli nazo zimebadilika na juzi kanipa muv, mle ndani watu wanangonoka vbaya. Kanambia ukweli yeye anataka nn kwangu,tena anasema yeye ni mzima wa afya hata nikitaka kuthibitisha hilo nitafute hospitali nayoijua tukapime.

  ANACHOKITAKA NIFANYE NAYE KINYUME CHA MAUMBILE na nikikubali hilo atanipatia sehemu ya tenda yake ya kusupply nyama kwenye hotel na hospital flani flani. Je nifanyeje na binafsi sitaki kufanya mapenzi nae japo biashara anayonieleza nimeanza kuona uzuri wake?
   
 2. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  je,wewe ni mfiraji?
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mungu anakupima hapo ktk mafanikio yako je utenda kinyume na maadilli na hata amri zake? ukiweka tamaa mbele ni wazi utamuudhi hata muumba wako ilopo kataa na hata akikunyima hiyo tnda hajakukata mikono wala miguu Mungu bado atakuonyesha sehemu yenye maslahi zaidi pls kuwa mwangalifu
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kimbia haraka hapo, ikiwezekana kata kabisa mawasiliano naye!
   
 5. M

  Mputi Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka sepa fasta, riziki anatoa Mungu, akikunyima hiyo tenda Mungu atakupa Tenda bab kubwa u hav bn tested man, be strong!
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  astakhafillah laaziz! Hii kitu gani tena? Kwa nn hataki kukupa mbele? Huyo hafi,kuna jamaa ameshawazoesha hako kamchezo. Cku wakikukuta watakugeuza na wewe.
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  pole saana..
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Your authority to overcome that woman, is the granted authority you have to succeed over your self employment carrier ... You loose to her, you have lost your carrier and you r an inferior victim to your environment smithing you wont wish to become...!!
   
 9. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Duh mkubwa hii kali... mpaka unatusimulia habari hii inaonekana umeshakula huyo mama chief, yaani najiuliza anawezaje kukuambia umle tigo wakati hujaonja hata voda? (mbele)... kwa haraka haraka kama hii sio hadithi ya shigongo, mimi ninaamini huyo mama umekula ila tu sasa mnataka kuswitch line toka voda kwenda tigo!!
  Kingine ambacho labda kabla hujapata ushauri vizuri.. ningependa kujua huyo mama kaolewa? na je wewe umeoa au una mchumba? kama lolote kati ya haya mawili ni ndio..acha hayo mambo kaka, achana nae kabisa huyo mama maana utakuwa unajiandalia kaburi na matatizo makubwa sana kwenye mahusiano yako au yake... acha tamaa, kama mkono unaenda kinywani kwa hako kabiashara kadogo ka saizi, ongeza juhudi kukakuza tu.. usipende kutafuta shortcuts kwenye maisha... mamama kama hayo mengi huwa ni maathirika na yanatafuta vijana kuwarubuni kwa pesa zao.... achana nae kaka!!! angalia biashara yako, fanya kazi kwa bidii utafanikiwa, maana hata babeli haikujengwa kwa siku moja!!

  And as for Tigo kama utaendelea nae, usijaribu kaka...sio nzuri na itakuharibu kisaikolojia... usije kukuta ukaja kutokusikia hamu ukiwa na mkeo huko mbeleni na hata kumlazimisha pia kukupa tigo... achaaaaaaaaaaaaaaa...achaaaaaaaaaaaaa!!! Ole wako!!
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ole ya ole ni kwa wale wapuuzi na wapumbavu_sipendi hata kusikia habari kama hizi....anyway mimi ni mtoto wa mkulima halisi kutoka bara.
   
 11. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hii ndio habari ya KUPENDA PESA KULIKO KUMPENDA MUNGU ..........ANGALIZO: SHETANI ANAKUOTEA .... STUKA NA MPINGE KWA NGUVU ZAKO ZOTE
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Pole sana. Ingawa hakuna dhambi ndogo, likini hiyo ya kuruka ukuta ni Noma. Angetaka kwa njia ya kawaida, ningekushauri upate kitu roho inapenda. Lakini sasa kama ni huo ukuta.......Kimbia sana wala usiangalie nyuma.
   
 13. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inanirudisha kule kule kuwa tukubali ushoga Tanzania ndio tutapata misaada.
  Kipi bora kumuudhi Muumba wako, aliyekuumba na kumfurahisha binadamu mwenzako??????
  Kwakuwa umeshaomba mawazo kwetu, nategemea hakuna hata mmoja atakayekubali ufanye anavyotaka huyo mama,
  Na kama utapuuzia ushauri wetu, elewa ipo siku utatukumbuka.
  Usikubali ndugu yangu, elewa "HASARA ROHO, PESA MAKARATASI.
   
 14. E

  ESAM JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Aisee timua mbio huyo ni ajenti wa ibilisi anataka kukumaliza kibiashara, kiroho, kisaikolojia na mengi mengine. Some 1Cor 6:9-10, "Know ye not that the unrighteous shall not inherit the kingdom of God? Be not deceived: neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor effeminate, nor abusers of themselves with mankind, [SUP]10[/SUP]Nor thieves, nor covetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners, shall inherit the kingdom of God."
   
 15. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni hizo tenda au kulinda imani na Utu wako? binadamu hawezi kukuzibia riziki, mpige chini utakuwa umeshinda majaribu na Mungu atakuinua kwa wakati wake.
  Chukua hatua!
   
 16. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi ndivyo title ya ujumbe inasomeka....
  [h=2]Dini,nafsi na utu wangu vitanisuta nikikubali.[/h]
  Nami nakushauri usikubali, maana Mungu hapendi. Ubarikiwe
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,530
  Trophy Points: 280
  kwani haya uliyaonaje,
  Taratibu mama kaanza vtuko,mara nimkute na kanga nyepesi,kauli nazo zimebadilika na juzi kanipa muv, mle ndani watu wanangonoka vbaya. Kanambia ukweli yeye anataka nn kwangu,tena anasema yeye ni mzima wa afya hata nikitaka kuthibitisha hilo nitafute hospitali nayoijua tukapime.

  na hayo mengine amua mwenyewe.
   
 18. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hivi huu ushenzi ni new trend-in-town kwa hawa wamama wa mujini au?? coz kuna rafiki alinipa story linganifu na hii ... mmama alitaka amfanyie upuuzi huo lkn jamaa akamuuliza kwanini asiende muomba mumewe amsaidie?? yeye akajibu eti dini yao hairuhusu kwa mumewe kumfanyia mambo hayo, na the moment atakayo fanya naye / mtamkia, basi kiimani / kidini siyo mke wake tena ... nilishangaa sana, kwanini sasa atafute mtu wa nje wakati ni wazi imani yake hairuhusu ku-practice huo uchafu?? ni mambo ya ushirikina, fashion, radha tofauti, au kitu gani wanapata?? eeh Mola tunusuru waja wako!!
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  The devil works in mysterious ways! usitegemee shetani kukjia akaiwa na sura kutisha na pembe kichwani............HUYU NI SHETANI usimpe makao rohoni mwako..............utajuta!
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Nikijiweka kwenye viatu vyako hata mimi ningekua dillema!Ila listen to your heart,and be care more,that's my advice!
   
Loading...