Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo
I'm a teenage boy(11-19)
chukulia kwamba we ni mazazi wangu,umepata ushahidi kwa kadi au barua au msg kwenye simu yangu kwamba nina demui.
We kama mzaz wangu tanikataza nisiwe na demu,au...
Wanaume sometimes tunakuwa wabishi na tunashikiria mambo fulani ambayo hata hayana maana. Tuna poteza vionjo kidogo kidogo na siku tunajikuta kwenye ndoa zenye zero gravity bila hata wenyewe...
Can we go to the days our
love was strong
can you tell me how a perfect love goes wrong
can somebody tell how to get things back
the way they use to be
oh God give me a reason
i'm down on...
habari zeni Great thinkers, Naanza kama ifuatavyo, Kitambo niliwahi kuomba msaada kupitia Jamvi hili kuhusu Mchumba wangu.
Mimi ni kijana wa Kiume Nilieko Ughaibuni na nilimchumbia Msichana mmoja...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuamua kwenda kinyume na maumbile na kundi hili sasa
aliangalii kama ni wakurugenzi ma engineer yaani imeenda beyond limit..
sasa basi tumekuwa ama tumeona...
... kuna mwanamke mmoja nilikua naongea nae tena ye ni mke wa mtu (ni kawaida yangu kuwa na mazoea na wake za watu japo kwa nia njema)...and katika stori stori za hapa na pale nikamwambia, 'me i...
Sijui ni kukosa utu, kujali, au kukosa maadili! Inakuwaje watuwengine wanaishi maghorofani ni kana kwamba hawajali wanaoishi chini. Kwani ni lazima iwe ugomvi. Maana angalau nyumba zinazopakana...
JUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu yaani my soulmate
inaniuma ila sijui ni solve vipi
tulikua tunapita kwenye uchochoro fulanai mitaa ya uswahilini mererani...
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya...
Wana JF...naomba mnisaidie my boy yuko mbali na ninapoishi,yupo busy sana,mawasiliano hafifu mpk nimtafute bt anashow km he loves me. Cmsumbui na v2 vngne zaidi yakumsisitizia ukaribu.cna imani km...
Kila mtu ni mbaya kwako, kila mtu anakuchukia, wewe tu, kila mtu hakutendei haki, kila mtu ana kasoro?
Je wewe ndivyo unavyoishi hivi? Kama jibu ni ndiyo au kama una mtu wako wa karibu ambaye...
Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.