Kwa nini mashoga wameendelea kujazana kwenye vilabu vyetu vya usiku??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Hapana sio pdidy bana
nshazeeka sasa natunza familia ..nimesikia mtangazaji mmoja wa clouds fm
arnold kayanda kipindi cha jahazi akisema pamoja na serikali kukaa kimya
kuhusu yale madude yetu mwenzie akauliza yapi yale macameroon uyajui??
Nikasema yalaaaaaaahhh kijana vipi tena,,akuishia hapo akasema nimekuwa
nikzunguka baadhi ya club haya madudu yamezidi kuongezeka kila kukicha kwa kweli
pamoja na cameroon kusema nahisi ameangalia idadi ya haya madude yanavyoongozeka
mmmmh..nikasema ningekuwa bungeni ningemuuliza kijana atupe muelekeo zaidi tuweze
kuelezea serikalini jinsi ya kuwaondoa kabisa haya mauchafu....
 
Pdidy,

Nadhani siku hizi wanaongezeka kwa sababu kuu mbili

1. Wanaume, rijali, wanaopenda kulawiti wanaume wenzao wameongezeka.
2. Wanaume wenginehuzaliwa na female hormones, even their shape will deveope like a woman.

Swali nililonalo: Je, kwa nini wanaume rijali wafanya hive? Bila waliwitiji, hakutakuwa na soko la ushoga! Na mbaya zaidi, unakuta watoto wadogo wanalawitiwa na watu wa karibu yao, kuna kesi za baba, wajomba, kaka, binamu, jirani, imam, padri, etc, za kulawiti watotowadogo wasioweza kujitetea. Huwawanawachezea hadi ujana wao, je, nikosa la nani huyu kijana alikuwa anapendakufanywa?

Na wale walio jela, men gang rape a fellow man. How is this man affected psychologically?

Alafu utakuta hawa hawa waliwitiji ndio wakwanza kutoa tamko la kupinga na kuwanyanyapaa mashoga.
 
Mnaoendekeza usasa wa kwenda na watoto bar na klabu za pombe, hili nalo ni somo tosha kwenu. Majifunzo ya mambo mabaya kwa watoto huanziia huko pia, maana mtoto lazima atakuuliza 'baba yule nani mbona mwanaume lakini yuko kama mwanamke. sijui utamjibuje?
 
pdidy,

nadhani siku hizi wanaongezeka kwa sababu kuu mbili

1. Wanaume, rijali, wanaopenda kulawiti wanaume wenzao wameongezeka.
2. Wanaume wenginehuzaliwa na female hormones, even their shape will deveope like a woman.

Swali nililonalo: Je, kwa nini wanaume rijali wafanya hive? Bila waliwitiji, hakutakuwa na soko la ushoga! Na mbaya zaidi, unakuta watoto wadogo wanalawitiwa na watu wa karibu yao, kuna kesi za baba, wajomba, kaka, binamu, jirani, imam, padri, etc, za kulawiti watotowadogo wasioweza kujitetea. Huwawanawachezea hadi ujana wao, je, nikosa la nani huyu kijana alikuwa anapendakufanywa?

Na wale walio jela, men gang rape a fellow man. How is this man affected psychologically?

Alafu utakuta hawa hawa waliwitiji ndio wakwanza kutoa tamko la kupinga na kuwanyanyapaa mashoga.

yaani mbaya wako rijali na nanii zao ziko sharp mbaya!!
 
huna lolote we ni mfuasi wa sugu kupitia shangazi virus.acha kufikiri kwa kutumia ucameron

HALOOOOOOO HALOOOOOOOOOOOOOOOO IJUMAAAAAAA IKWAPI NIENDE TRAVETINE KANGA MONGOKO
HILO NALO NENO!!!!mPWAAAAAAAAA
 
mnaoendekeza usasa wa kwenda na watoto bar na klabu za pombe, hili nalo ni somo tosha kwenu. Majifunzo ya mambo mabaya kwa watoto huanziia huko pia, maana mtoto lazima atakuuliza 'baba yule nani mbona mwanaume lakini yuko kama mwanamke. Sijui utamjibuje?

unahisi wale wanaolawiti wattoto waao walikuwa bar na watoto wao??eeh
la hhasha msaidie huyu mkubwa kwanza hao wadogo wataelimishwa...unajua ukipenda nzi sharti uwe na kidonda
hilo nalo neno!!!!!!!!#@#$$
 
Back
Top Bottom