Wapendwa,
Najiuliza hivi bado kuna wanaume wanaodanganywa kwa kubambikiziwa mashemeji/madada wa bandia kama anavyolalamika Mbaraka Mwinshehe hapa?
Je kuna limitation yoyote ya shemeji/ madada...
Jamani naombeni ushauri wa dhati katika hili, ni jambo langu mwenyewe. Kuna mdada nampenda sana na nina mwaka mmoja tupo katika mapenzi. Mara kwa mara amekuwa akinishutumu kuwa eti bibi zangu...
Kisa hiki cha kweli kimenisikitisha binafsi na hata jamii yetu ya Kiafrika , Kimetokea hapa wilayani Arumeru katika kijiji maarufu kwa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Babu amempa mimba mtoto wa...
Anasema tangu waoane na mume wake imepita miaka 6 na sasa wana watoto 2.
Mume wake alikuwa akiishi Dar akifanya biashara wakati yeye akifanya kazi ya ualimu huko MZ.
Baadae mume alimfanyia...
Mara ya mwisho tulikutana sehemu..na kila mtu akachukua namba ya mwenzako...na tokea hapo kila mtu akawa na hisia za kimapenzi na mwenzake....siku namtafuta akaniambia yuko na mtu niliumia...
Baada ya upweke wa miezi kadhaa nimekutana na mwanaume mmoja hivi (ni divorcee) na tumeanza kudate, tatizo marafiki zangu wananicheka wanadai ni mzee sana cuz ananizidi miaka 15. Is it that bad au...
mfano cku mungu akasema kila mmoja akamsalimie mpz wake wa kwanza (first lover) ..........hakuna atakaye mkuta wake home mana kila ukifika utakuta naye hayuko kaenda kumsalimia wake na yy huko...
JAMANI NATAFUTA KABINTI KAZURI KOKOTE KANAKOSOMA CHUO KIKUU MZUMBE,KWA MAHUSIANO SERIOUS KABISA KABISA NAMI NIKO HAPA MZUMBE KWA SANA.NICHECK AT kulwatz@gmail.com
Unapomchukia adui yako, haisaidii, sana sana unampa nguvu dhidi yako, dhidi ya usingizi wako, dhidi ya hamu yako ya kula, dhidi ya msukumo wako wa damu, dhidi ya afya yako, na dhidi ya furaha...
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv...
Soma huu wimbo na kama yamekukuta haya,unaweza ukatoa chozi,na hapo kwenye red...dah!
"Someone Like You" by Adele
I heard that you settled down
That you found a girl and you're married now.
I...
Hapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea
wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao...
When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I've got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her eyes. Suddenly I...
Hiyo siyo kauli yangu mimi Mtambuzi, bali ni kauli ambayo inawezekana hata wewe umewahi kuisikia au kuitoa pale unaposikia au kupata tetesi kuwa kuna mtu anatembea na mkeo au mpenzi wako. Mimi...
MKAZI wa jijini Mwanza, Thomas Jilala (22), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kumuua anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Levina Kiwili (26), mkazi wa Mfaranyaki katika Manispaa...
Jaman kila post nnayoangalia naona ni male anatafuta female,post chache sana za females wanatafuta male
Haya sasa nawadirect nendeni mwakilaga.blogspot.com huko ndo mtakuta females wanatafuta...
habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.