Sipendi wa dada wanaowafanya wanaume wao kama ATM, unatoka na mdada for Lunch unaishia mlipia kila kitu na hata voucher anakuomba! Kibaya zaidi unamlipia hadi Taxi
Sipendi wa Kaka wanaopiga...
Najua kuna maeneo mengi ya kumpata,kanisani etc lakini hata humu wanaosoma na hasa wewe unaesoma hii thread una akili timamu (a girl) sisemi wanaume si timamu hapa am talking about my coming girl...
nilikuwa napita tu kwenye social network moja nikakutana nayo na nikaona nshirikiane nayi.
mbarikiwe sana wapendwa
For I know that my redeemer lives
and at the last,
He will stand upon the earth!!
The Crayon Box That Talked
While walking into a toy store the day before today
I overheard a crayon box with many things to say
"I don't like Red!" said Yellow and Green said "Nor do I"
"And no...
Utakuta mdada kamuona mume/penzi wa rafiki yake anakula raha na mwanamke wa 'pembeni' au wameingia nyumba ya wageni kufanya mapenzi, basi nongwa. Mwanamke roho inamuuma utadhani labda ndo yeye...
wazazi wa siku hizi tuna mtihani mkubwa sana wa fuwafunza watoto wetu maadili (nimetafsiri maadili kama values).
Zamani ilikua rahisi sababu jamii nzima ilikua na maadili sawa na mzazi anampa...
Hodi Kwanza humu JF!
Ingawa ni mgeni, Lakini ni msomaji mzuri wa mada nyingi hapa JF!
Mada nyingi zinazowahusu wanandoa huwa haziwafikirii watoto. Kina Baba, kina Mama Pendaneni, na muaminiane...
Wadada acheni fujo na vurugu. Utakuta mtu katemwa badala ya kukaa chini na kutafakari makosa yake, anaamua kuharibu mambo ya wengine.
Afadhali tukose wote na misemo ya walio shidwa siku zote...
Wanawake wanapenda sana kuwa huru na hii inafanya baadhi ya wanaume wasijisikie vizuri. Kutokana na mabadiliko ya maisha ya ,wanawake wanafanya kila ambacho kipo kwenye akili zao kwa ajili ya...
Katika jamii nyingi za kiafrika hususani Tanzania, mwanaume ndiye huanzisha mahusiano kwa kumtongoza binti na hata kumchumbia kwa lengo la kuwa pamoja. Sasa inapotokea mwanaume/kijana akamtongoza...
Hebu jiulize kwamba leo Mungu anaamua kutoa adhabu kwa kila mwanaume ambaye ktk masuala ya mapenzi-iwe ameoa au bado yupo yupo-ameshawapitia wanawake zaidi ya 10 tangu alipoanza kuwajua wanawake...
Ninalia hadi sauti yanikauka yote haya ni sababu ya mapenzi. Ni dada ambaye nipo kwenye uhusiano kwa mwaka wa nne sasa na mchumba wangu. Nampenda sana, ni mwanaume wangu wa kwanza lakini jumamosi...
Leo mida ya jioni nilitoka na mama Ngina kupata mchesho wa kuku mahali fulani. Mara kaingia mlevi mmoja akasogelea meza yetu na kuniuliza.
Samahani mzee, naomba uniwe radhi kwa kuuliza
Mimi...
Mapenzi yamekuwa yakichukuliwa na baadhi ya watu kama fasheni hali inayowasababishia washindwe kudumu kwa muda mrefu na wapenzi wao.Kimsingi ipo hali ya kujisahau baada ya wapenzi na wanandoa na...
WALIOSEMA bora ukose mali upate akili hawakukosea kuna wengi wanateseka kwa vile wamekosa uelewa wa nini wafanye ili waishi vema.
Kuna watu wanaishi maisha yasiyo na raha kwa sababu wanaumizwa...
Habari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au...
Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata...
By SarahAbell
A first date is loaded withexpectancy will she/he like me and will I like them? Is this person going tobe the One or will I want to run for the hills before the starter? Will I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.