Kuna house girl nilikua naye kwa mwaka 1 ss yy ni mzaliwa wa Tanga, dada huyu nimeish naye vzr sn na alikua anamlea mwanangu wa miaka 4 vizuri sn, lkn kwa kipindi choche nilichoish naye mwanangu...
You can measure your commitment to your marriage by your willingness to unconditionally love and forgive your spouse. You can measure their commitment to you by the same. Are you EQUALLY...
Mama kaweka mtego wa kumkamata muharibifu wa mwanae kakutana na pedeshee moja lenye mihela likamnunua na yeye na sasa kamnyang'anya kabisa utamu mwanae....hii ndo bongo bana
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza...
Nilikuwa napitia makabrasha hapa nikavutwa na maneno haya
"............As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman..........."
Botha's Speech -1985 - Racism...
mwenzio nacheka kwa uchungu, niliolewa mume wangu baada ya miaka sita ya ndoa yetu mume wangu akanitaarifu ya kwamba anataka kuoa mke wa pili, japo iliniuma sikushangaa sana kwani dini yetu...
Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa...
Habari ndugu zangu.
Juzi nilisafiri kwa basi toka arusha kuelekea mbeya kwa shughuli zangu binafsi. Tulifika makambako jioni jioni, dereva akasimama ili tuchimbe dawa halafu safari iendelee...
karibuni nilikutana na mdogo wangu wa kike kwenye daladala. Alikuwa na rafiki yake wa kike wakitokea chuo (sikitaji). Baada ya muda yule shost alishuka nikabaki na mdogo wangu. Tuliposhuka...
Wapwa kila kukicha maisha yanazidi kuwa magumu sana
Vitu vimekuwa ghali sana tofauti na siku za nyuma, unajikuta unasema bora ya jana.
Kwa mm nae kula kwa mama ntilie na kunywea bar za vumbi a.k.a...
Our sexuality is affected so easily by self-esteem, emotional insecurities, pressures, criticisms, and expectations. So to effectively ruin sex for your spouse, follow these steps:
1. Expect sex...
Marriage without stress is a possibility, divorce can be avoided.
When the lord turned again the captivity of His people they became like them that dreamed, Psalms 126 vs 1.Your trial is turned to...
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje...
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke...
Hivi mtu akiuliza maswali haya ina maana gani katika mahusiano? Je uhusiano unaweza kuimarishwa kwa maswali haya au ni dalili ya matatizo? Kama watu wanamawasiliano mazuri kwanini haya maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.