Wanawake acheni hizi tabia

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Kweli hizi tabia zinakera sana wanaume na ndo zinafanya wengine mnakosaga kabisa wakuwaoa mnabaki kubanana na wanaume za watu.

1. Tabia za kujifanya high class
2. Kila ukipewa outing unakuja na kampani
3. Tabia za mizinga ya mara kwa mara - HII NDIO KERO KUBWA
4. Mizinga ya vocha kila siku

Unakuta unapigwa mzinga leo unakaa siku moja tu unakula mwengine.

Sitaki ku entertain majibu ya inategemea au siyo wowote mimi ushauri wangu kwako ujirekebishe tu.
 
kijana...pesa ya mwanaume utumiwa na mwanamke na tunda la mwanamke uliwa na mwanaume...hiyo ndio trade off iliyopo kwa sasa
starehe ambayo zamani ilikuwa ya bure siku hizi wabidi uilipie!!!!
 
hizo tabia 4 kwa kweli zinakera kupita maelezo,ila je kuna uwezekano wa kuzikimbia hizo tabia ilhali tunawataka wanawake? Nalog off
 
mwanamke mitoko babu,mwanamke uwe juu babuu,mwanamke kupendezea babu,mwanamke mijigold na mijisilver babu,mwanamke kujionesha babu kwa marafiki zake kua kapata na yy mtu mwenye nazo
yote hayo ni kazi yako huwezi sepa babuu
hahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndio ujue ndizi haitoi tui babu...........wakati ww wajuta na kualalama kwa kutoa pesa ya vocha tu kuna mwenzio yuko tayar hata kumjengea house na kumkabidhi kila kitu chache yy ndio awe akitaka kitu anamwambia mama naomba hela ya vocha akinyimwa anakua mpole na kusema hakuna tabu mm ww utakavo mm sawa tu loh!
wahenga wanakuambia mwanamke matumizi babuuuuu na mwanamme pochi babu we
 
hapo tu ndio nakupendea shosti wangu wa ukwehe!
Umewachana live bila chenga.
Mwanamke gharama babu! Akiona vyaelea ajue vimeundwa babu. Lol.
 
mtoa mada,naona washushuliwa tu.kila siku w.ke hivi,w.ke vile.kazi kwako sasa.watu wameshachoka humu
 
SASA MAANA YA WEWE KUWA MWANAUME NI NINI? Hiyo ndiyo kazi yako mwanaume. Siku hizi wapo wanaotaka kubadilisha hata maagizo ya muumba, kazi ya mwanamume ni kulisha familia kwa jasho.. ya mwanamke inajulikana, sasa mbona unalialia hovyo? Acha upigwe mizinga ni haki yake.
 
Mnaanza wenyewe kujigonga na vocha mara dinner mnadhani kuhonga ndio kupendwa sasa msichana akizowea ndio unaona kero,kwani hujui mwanamke matunzo? au vocha buku kila siku kwako nyingi? ulimtakia nini wa hali ya juu wakati hadhi yako ya kuvaa mitumba? tafuta unae fanananae hilo ndilo la msingi.
 
Mkuu huenda unao wengi ndio maana waona taabu. vinginevyo punguza list au amua kuwa na mmoja tu maisha yatakuwa simple hakuna mfano
 
@nduka original, revola haina gharama ni 250 tu.

Ila kwa wadada, bado gharama za lesswig, kucha, kope, pedicure, manicure, wax, na facial. Hizo gharama ni pai, hazibadiliki.

Sijaongelea pafyumu, body mists, na kadhalika. Au wapenda uvundo weye.
 
Mwanamke akizidisha MIZINGA unatupa kule,mbona wapo nyomi kitaa..uzuri zaid zafanana..
 
Ninachosema mnakera sanaaaaaaa na mjirekebishe. Tabia za mizinga kila siku kila wakati. Kabla hujanijua mimi ulikuwa unatatuaje hayo matatizo yako? Nyie mnaojibu humu mjue ya kuwa mnawa bore maboy friend zenu.

Unakuta umesafiri sasa unarudi eti ki sub-house kinataka kwanza uende kwake kabla ya nyumbani. Mshindwe na mlegee hasa hasa nyie nyumba ndogo.
 
Mnaanza wenyewe kujigonga na vocha mara dinner mnadhani kuhonga ndio kupendwa sasa msichana akizowea ndio unaona kero,kwani hujui mwanamke matunzo? au vocha buku kila siku kwako nyingi? ulimtakia nini wa hali ya juu wakati hadhi yako ya kuvaa mitumba? tafuta unae fanananae hilo ndilo la msingi.

Hata sisi pia hatuwapendi ni kwamba tunawatumia kubadilisha test tu na ndio maana tukishapiga mara kazaa ukiona anataka kuangusha turubai inapiga mzigo chini.
 
Back
Top Bottom