Mungu wa sasa anajibu ujanani jamani!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Pengine umekuwa ukidharau wazazi wako na kuanza kuitupa mbali ile amri aliotumba mungu
wetu waheshibu baba na mamako upate kuishi miaka mmingi,....wapo watoto wa leo wanazaliwa
wanapata kazi tena kwa wazazi wao kuhangaika na wengine hata kuuza nyumba na mali nyingine
mbali yawezekana waliuza visivyouzika leo umepata maisha mazuri umeanza dharau
hii sio poa mungu apendi kabisa kama umekuwa na haka kamchezo wacha

nakwamabia ukweli unachowafanyia wazazi wako unapoza mtoo wako anajibu yote uliomfanyia
kifupi mungu wa sasa anajibu ujanani asubiri uzeeke ati ndio uanze kujibiwa a ma kuyapata yale uliokuwa
ukimtendea /watendea wazazi wako acha hako kamchezo

muheshimu baba na mama yako upate heri na maisha marefu duniani

alamsiki kama aujampeleka mwanao chanjo anza nenda sasa jaali mwanao pls
 
waambie tena waambie waambilike.
'.......muheshimu baba na mama yako upate heri na maisha marefu duniani:
by pdidy.​

 
Ni kweli mkuu watu wengi wako nyuma ya baraka zao kutokana na ufahamu wanaishia kuwa misukule
kwa kudharau wazazi wao..kuna mabinti wasiku hizi wakipata mabwana wenye hela hata wazazi awawajali
tena wengine wakipata kazi ndio loh....wanaume wengine mmh sitaki kutaja mmoja mmoja weewe anza kujitoa kivyako sasa hivi ili uachane na haya maisha yako ya shida
 
Tena Mungu anajibu sio kwa kuwadharau wazazi tu bali hata watu baki wasio ndugu, jamaa wala marafiki! JAMANI TUSIWATENDEE WENZETU YALE AMBAYO HATUPENDI KUTENDEWA!KWA WALE WANAOAMINI KUNA MUNGU BASI TUKOSEAPO TUTUBU MANA MWANA WA ADAMU YU KARIBU KUJA.
Aksanteni.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom