Hi nayo mnh,....kweli si kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi nayo mnh,....kweli si kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Nov 13, 2011.

?

wanawake huhitaji kila kitu kwa mwanaume mmoja, mwanaume huhitaji kitu kimoja kwa kila mwanamke.

 1. Kweli!

  7 vote(s)
  46.7%
 2. Si Kweli

  8 vote(s)
  53.3%
 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  [​IMG]


  "...mwanamke huhitaji kila kitu kwa mwanaume mmoja,
  mwanaume anahitaji kitu kimoja kwa kila mwanamke..."
  NB; Mind Your Language!
  Moderators wanatambua uwepo wa mdahalo huu...   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Uzoefu una majibu tofauti na hii,wapo wanawake japo sio wote wanakua na mwanaume wa kutoa hela,mwanaume wa kuuzia sura na mwanaume wa "shughuli",so inawezekana wapo wanaume wa aina hiyo lakini sio wote!
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  swadaktaaa!...

  mwanzo mzuri sana huu...
  iwapo mwanaume atajitosheleza vyote hivyo mwanamke atakuwa na haja gani ya kumanga manga nje?
  ...hata "nature".... [​IMG] ...inakubaliana na janga hili!
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Lakini Mbu,hatakama kuna mapungufu inabidi uyakubali na kukabiliana nayo sio kukimbia nje!
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbu napata mashaka na maelezo yako mwanaume amejishoteleza yukoje...au unataka kutuambia kuna viumbe vilivo kamili kwenye ulimwengu huu!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  ..Forget the bite :pray: I sing for you...
   
 7. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakubali na wewe kwan wanawake hupenda hutoka moyoni lakini wanaume tunajua wenyewe......
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hapa unazungumzia cheating?
  hapana bana, mdahalo huu unazungumzia utofauti wa mahitaji ya
  mwanamke na mwanaume...

  ukigusia cheating, ina maanisha ume base tafiti yako kwenye tendo la ndoa pekee.
  Unaweza kutafakari na kufunguka zaidi kwa mtizamo unaoangalia "nje ya boksi?"
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...lol...chauro...jibu la ukamilifu au la inategemeana na unavyoyaangalia maisha yako...is the glass half full or half empty?
  [​IMG]

  "Winners compare their achievements with their goals, while losers compare their achievements with those of other people"

  ...usikubali ku doubt ukamilifu wako ati tu kwakuwa kuna mtu ana ku feed maneno wewe una kasoro hii, na ile...


  "what a man achieves and all tha he fails to achieve is the direct result of his own thoughts"

  YES CHAURO, YOU ARE PERFECT and, THAT'S WHY YOU ARE UNIQUE!
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  wakati nikiwa medical school nilikuwa na rafiki yangu anatoka New Zealand his name was Darious , Huyu bwana alikuwa Girlfriend Mkorea.

  Niliwahi kumuuliza what is his plan kwa yule Shori.. akanijibu nothing serious "just a fling" according to him ... nikamwambia mbona yule binti anatamba kwa rafiki zake you are everything to her ...

  akanijibu kwamba when it comes to love & Life "Girls always use their heart to think " but we Men "we use our Brain to Think " nikakubaliana naye kwa hilo ... So kutokana na hiyo situation nikirudi kwenye hiyo Poll jibu langu ni NDIO...
   
 11. r

  ridhiwani gamba Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  mi sio mtaaalam sana na hayo mambo
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  "...msema kweli kipenzi cha mungu," karibu sana jamii forums.
   
Loading...