Dada yangu anamcheat shemeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada yangu anamcheat shemeji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Baba Erick, Nov 11, 2011.

 1. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwambie atafute jinsi nyingine asionekane maana ukimwambia shem utasababisha matatizo sana. Kaa ukijua hujamuona tu naye shemeji yako akitoka gesti kwa sababu anajificha sana au maeneo yake yako mbali na wewe, naye anafanya.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Mwache sista ahondomole tamtam na switi bebi wake masogange.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kwa kuwa si dada yenu?........................hebu kuweni wakweli wa nafsi zenu
   
 5. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kaka ukweli mchungu hamna asiyefanya siku hizi swala hapo ni kujificha sana. Utaukataa huu ukweli lakini ndivyo ilivyo watu wanakula hata wake za marais ije kuwa sisi wa mitaani???? mke wa rais ana watu wangapi wa kumlinda??? na mkeo anao wangapi wa kumlinda?? Hii lazima tuikubari tu no way out.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  Baba Erick na utu uzima wako wote unashindwa ku handle kitu rahisi kama hiki hadi unakuja kuomba ushauri jukwaani? Heshima yako inashuka mzee
   
 7. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
   
 8. N

  Ndoano Senior Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mwambie uone kama wewe na dada yako hamjarudishwa kiembe mbuzi..
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Sasa sista si kaamua mwenyewe lakini....andazi mali yake na analigawa anakopenda yeye. Sasa kwa nini wengine wampangie kugawa mali zake?
   
 10. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mwambie shem. Ila aisee mbona kuna mambo mengi ya kujadili yenye maclai kw weng instead f ur family related things! Ah kuna mgomo ud, lema ndani, umeme mgao,rombo bendera ya kenya, etc ila ucmind uwe ma best!
   
 11. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Heshimu maombi ya mwenzio, labda yoote uliyoyasema keshayajadili na anaendelea kujadili utajuaje? hili nalo linamtatiza kichwa lakini sasa tumemshusha presha.
   
 12. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Unafaa kuungana na mzee wa riwaya,shigongo.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hayo yote yana majukwaa yake si uende jukwaa husika ukayajadili mkuu?
   
 14. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kakaaa usije ukamuonea dada yako muache aendelee ila kama utamuonea huruma mwambie awe anajificha sana asiende gesti za karibu na ikiwezekana apange chumba mijini watakachokuwa wanalipia kila mwezi.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ukisikia "fulani " kavunja ndoa ya dada yake nivyo inavyokuwa..

  wewe zungumza na dada yako, mwambie umemwona na anachokifanya sio kizuri, maradhi mengi achukue tahadhari na ikibidi aache...
  hapo jukumu lako ndipo linapoishia, dada yako ni mtu mzima anajua zuri na baya, na undani kwenye ndoa zawatu huwezi kuujua.
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Muite dadako faragha umwambie kwamba kama haachi hiyo tabia utamwambia shemejio. Huyo ni dadako mpendwa, inawezekana hilo tatizo lipo mezani kama ukipeleka hiyo inawezekana ikamfanya arudi nyumbani wewe utafaidika nini? Ebu muite ccta wako fasta ikishindikana mwambie baba/mama mzazi wamuite wampe maadili.
   
 17. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Unapotaka kulisanua kwa shem wako au kumpiga ribiti sista wako, Je unajua sista anachokikosa kwa shem wako kinachomfanya aende nje kukitafuta? Kama je mapigo ya shem wako kwenye 6x6 ni hafifu utamsaidiaje? Pilipili usizozila zakuwashani??
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Baba Eric pole kwa hili tatizo. hebu kwanza shemeji muweke kando, kaa na dada mwulize kwa nini anafanya ayafanyayo ilhali yeye ni mke wa mtu. Msikilize vizuri, kama ni tamaa mwonye na mtishie kusema kwa shemeji, kama dozi aipatayo kwa mumewe ni hafifu, sema naye (ukishindwa ilete hapa apewe mbinu za klurekebisha mambo kisha mpe link kama si kumprintia) kama ni tatizo lolote kati yake na mumewe mwambie a-open up, communicate, communicate and communicate again.

   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jsaud, anawezakumsaidia kwa kumweleza kuwa tatizo halitatuliwi kwa kuongeza tatizo. Amshauri azungumze na mumewe bana. kutotoshelezwa ndani ya uwanja si tiketi ya kumfanya akajichezeshe kidali poo huko kwenye maguest. Yeye ni mke wa mtu bana ametunukiwa ndoa na mume wa kikidhi haja zake, ni mume wake asiogope kusema bana.
   
 20. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  muonye dada yako-mwambie ulimwona-so niexttime yaweza kuwa zamu ya bwana wake kumuona
  swala la kumuambia shem achana nalo
   
Loading...