Natafuta msichana wa maisha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta msichana wa maisha!

Discussion in 'Love Connect' started by engineerm, Nov 13, 2011.

 1. engineerm

  engineerm Senior Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu wa jf,mimi ni mwanaume miaka 29,niko masomoni nje ya nchi nategemea kurudi Tz mwakani by june,natafuta mweza wa maisha ili tuanze mawasiliano saizi ili nikifika tumalizie tu taratibu za kindoa.sifa za msichana
  1.Awe na elimu kuanzia form six.
  2.Dini sibagui ijapo mimi ni mkristo
  3.Awe Mcha Mungu sana maana mimi ni mcha Mungu pia mpole sana
  4.Awe na miaka kuanzia 23 hadi 28.
  5.Awe haja zaa mtoto wala hajawahi olewa.
  Mwenye sifa hizi please ni-PM ili mawasiliano yaanze yaani niko very serious kwa hili.
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,218
  Trophy Points: 280
  Yaani uko very serious,keep searching
   
 3. engineerm

  engineerm Senior Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni-PM hata wewe naona kama unanifaa sana tu.
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,218
  Trophy Points: 280
  how did you see?
   
 5. engineerm

  engineerm Senior Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  because ur the first one to comment
   
 6. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  mhh haya, kila la heri kwenye utafutaji wako. Mungu akupatie hitaji la moyo wako japo hujaspecify physical appearance aweje!! ukipata pia urudi utujulishe kaka.
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,218
  Trophy Points: 280
  kukoment wa kwanza isiwe sababu,any way sikwalifai.
   
 8. engineerm

  engineerm Senior Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa wishes zako,pysicaa appearance awe mweupe kidogo(maji yakunde)
   
 9. v

  valid statement JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ukikosa wa kuku pm toa tangazo mara ya pili mdau!
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hujasema vigezo ulivyonavyo na ww pia. Ama unahisi wadada hawana vigezo wanavyohitaji?
   
 11. engineerm

  engineerm Senior Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok mimi university graduate(masters),majiyakunde kwa rangi.
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mi wiki ijayo nafikisha miaka 26, je naruhusiwa kuapply?
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo Kipipi unanimwaga?Mambo gani tena haya?Mi najidhuru!!!
   
 14. engineerm

  engineerm Senior Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  una sifa zote kabisa 26yrs wewe ni-PM tu ila kama uko serious kweli.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Jamani Eiyer, mbona sasa we umechelewa dear? Kwanini lakini hukusema mapema? Niahidi basi nimkache huyu mr. Engeneer......lol!!
   
 16. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kila la kheri!!!! ila ujue sio kirahisi kama unavyofikiri ....kazi ipo
   
 17. engineerm

  engineerm Senior Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanini sio rahisi mkuu,niambie complications zilizopo
   
 18. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe engineer.....hapa kaka naona itabidi kwanza nikushauri utlizane. haya mambo ya long distance u are setting urself up for disapointment. sasa tulizana maliza masomo yako alafu ukirudi bongo ndio utafute.....
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Mpige chini huyo,hajui kitu njo kwangu nikupe raha duniani,nina zawadi spesheli ambayo utakua nayo wewe tu!
   
 20. engineerm

  engineerm Senior Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nao ni ushauri mzuri sana mkuu asante,ila nilikuwa naona kama nachelewa vile kuoa.
   
Loading...