Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,722
- 21,778
Wamama wengi ama wabinti wamekuwa sana busy na mambo ya kujiremba sikuhizi
mbaya zaidi kuna amabo wanaenda kwenye nyumba ndogo wakiacha watoto kwenye nyumba ya jirani
sijasema wewe vipi mbona hivyo!!ila ni vizuri ukajua umeumbwa kuwatunza kuwasaidia watoto wako
na swala la mumeo kwenda kwa kazini usichukulie poa kuanza kusahahu majukumu yako
wapo walio radhi watoto wao walie na nja lakini wanaishia kwenda kujipamba uswahilini na mabest
wao mwisho wanaishia kutafutiwa nyumba ndogo ...
Leo naomba kama una haka kamchezo acha kabisa ifike wakti na wewe uanze kujaliw watoto zako
jumatatu Njema