Uchafu wa watu hawa, hovyoooo sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchafu wa watu hawa, hovyoooo sana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Nov 12, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Eti ni kweli watu kutoka makabila ambayo kwa asili ni wafugaji usafi kwao sio issue sana. Kumuona mama akitumia ganda la mua kumsafishia mtoto haja kubwa ni kitu cha kawaida sana. Kwamba hata kuoga kwao haijalishi sana, kwani wao wako bize na ng'ombe eti ni heri mifugo ipate maji kuliko yeye kuoga na mifugo ife kwa kiu.

  Kwamba tatizo liko wapi mtu kukaa kwenye choo cha behewa la treni toka kigoma, tabora kupitia singida hadi dar na ikibidi unakula chakula humo humo huku pembeni kwenye sinki la choo kuna haja kubwa na ndogo inatoa harufu kali. Kwa wahusika yote ni shega tu. Unapojaribu kuhoji why wao nao wanakushangaa na kukuona wakuja kweli. Na wakifika mjini eti wanajiona wajaaaaaaaaaaaaaanja! Hvi kwa nini hao watu wako hivi jamani?

  Nimeogopa kutaja makabila husika, isije ikaleta udadisi bureeeeeeeee!
   
 2. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Du we kabila gani??.
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Uongo,nani kakuambia wanaona shega tu?
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  acha waje
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Unapokulia chakula chooni inamaanisha nini madam?
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mgandugandu
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Hawakulii chakula chooni bana,msosi wanapata pale saranda a.k.a sheraton.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Acha uongo bibie dk 25 chakula gani kitalika pale, mambo yote ndani baada ya kununua pale chini. Tena wengine huwa wanatoka na ugali wao wa kuotsha toka kigoma hadi dar. Wakiwa ndani ndo huwa wanaanza kurundumla chakula baada ya kukinunua chini
   
 9. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,343
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Ila hii mada inahusika vp na jukwaa hili japokuwa kuna ukweli kabisa chunguza makabila yafuatayo.Wamasai,wasukuma,wagogo,wanyamwezi na wajita kwa mbali.Nani anabisha?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Tuna afya zetu bwana, kama kuoga ni usafi taulo linachafukaje?
   
 11. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Wanaosafiri toka kigoma bila shaka ni waha lakini hapohapo mtoa mada anazungumzia wafugaji na nielewavyo waha si wafugaji so nadhani kuna contradiction hapa
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wakute watu vijijni kwao, ndo utajua kuwa hii issue si ya kabila flani!!!
  note: nenda vijijini haswa na usiishie vijiji mjini.
   
 13. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa WANYAMWEZI si kweli!Sijui hayo makabila mengine labda.
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika kama uchafu ni suala la ukabila au tabia ya mtu ...
  Ngoja niendelee kusoma comments za watu!
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Ooohoooooooo! sasa we umetaja majina mi sijakutuma hayo, umeropoka mwenyewe mkuu! Ngoja wenyewe wakujibu ktk hili!
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hilo la waha umetaja wewe, na ni kama umeongeza list mkuu
   
 17. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,343
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  sasa kama kweli nisiseme?
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  hahahahaa! Ndyoko bana unanifurahisha, unaanzisha topic halafu unashindwa kuitetea!!
   
 19. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hawaon shega wafanyaje na ndo wanasheherekea miaka 50 kwa usafiri huo huo toka tumepewa na mkoloni , hakuna bingwa wa shida sema serikali ndi inawafanya we uwaone mabingwa
   
 20. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  itakua kuna mtu umemtokea wa makabila tajwa kakupiga chini ndio unaleta mahasira yako huku jf
   
Loading...