kuwa na rafiki wa kike ambaye si mpenzi wangu huniwia ngumu sijui ni kwa nini...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuwa na rafiki wa kike ambaye si mpenzi wangu huniwia ngumu sijui ni kwa nini......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by harakat, Nov 30, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Wadau mi naona kuwa na rafiki wa kike ambaye si
  mpenzi wangu inaniwia ngumu sana sasa sijui ni
  mimi tu au hata nyie inakua hivyo hivyo .

  maana unaweza kukuta unae rafiki wa disign hiyo halafu ukamtumia
  sms jamaa yake akajua unatangaza nia kumbe ni rafiki tu.....
   
 2. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Jukwaa la siasa hili jamani ]]]]
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama una mashaka na inakupa tabu temana nao
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Hebu peleka mapenzi yako kule kunakostahili. Hapa tunajadili mambo ya Kitaifa siyo ngono!!
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Ndio maana inshuu muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu yanapuuziwa kwa kuwa watu wako bize kuhusu mapenzi.
   
 6. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Kumbe chama letu lina wanachama wengi, tupo mkuu, mimi demu ambae si mke wangu au mpenzi wangu au sina mpango wa kumuomba penzi, huyo siongozani nae hata lunch, hata soda/offer yangu hawezi pata labda nimuone ni mtu muhitaji, yaani ana shida ya kipato kwa vile akili yangu itakavyompima.
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hakuna urafiki kati ya mtoto wa kiume na wa kike unless mmoja wao awe gay au lesbian; period!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli ni ngumu sana hususan kama ukiwa tayari kwenye mahusiano na mtu. The cloud of suspicion will always be there somehow, someways.
   
 9. babad

  babad Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo wewe peke yako kwani wanaume tumeumbwa na temptations pale tu unapokuwa karibu na opposite sex so wengi wanaigiza kuwa na marafiki wa kike eti wasio wapenzi huku wanaishia kuumia mioyoni kwa kuwatamani tu
   
 10. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  binafsi mawazo yangu ndio hayo hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume lazima kutakuwa na matamanio tu
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwa kiasi kikubwa sana ni kweli.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tatizo sio kwa sisi tunaokuwa na marafiki wa kike bila kuchanganya mapenzi na urafiki, bali kwa wanaotuzunguka ambao tayari wana imani kuwa ama utakuwa unamtafuna, angalau unadowea au uko bwabwa.

  Nilipokuwa katika nchi ambazo huwa hawafkirii hivyo, nilikuwa na marafiki wa kike na kule tuliishi bila shutuma, lakini siku mmoja wao alipokuja kunitembelea, maneno maneno yakaanza. Kusema kweli niliabika kwani wengine walithubutu hata kumweleza bayana kuwa ni mchuchu wangu. Mwaka uliofuatia walikuja wanne kwa mpigo watu nyumbani washindwa kusema kama wote ninawatafuna.

  Ninachotaka kusema ni kuwa ninakubaliana na hali kuwa katika jamii zetu urafiki baina ya wanaume na wanawake hauangaliwi kwa jicho zuri, kwa ile imani kuwa "mwanamume mkabidhi mamilioni akuwekee amana atazihifadhi lakini ukimwacha na mwanmke japo kwa dakika moja atajaribu angalau kulenga mshipi"
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hilo si swala la watu kufikiri hivyo tu; ni swala la ki biolojia. Wewe utakuwa ni exceptional. Na huwezi kuusemea moyo wa mtu mwingine; wewe waweza sema they were just friends ( or we are just friends) kumbe hao mabinti walikuwa wanakusubili kwa hamu uwakisi tu mmalizane.

  Haya mambo hayana cha ulaya wala afrika, hakuna urafiki kati ya mtoto wa kike na wa kiume. Sema huku afrika watu watasema sana ulaya na nchi za west hakuna anayejali huko na nani (at least kinafiki) ; but ukweli unabaki pale pale.

  Na wakati mwingine unakuja kugundua kuwa unamfeel mtu pale utakapomwona yuko na lover wake; karoho kanaanza kudunda wakti you were just friends.

  Kuna kijana alikuwa mshkaji wangu wa kawaida college; lakini alitaka kuzichapa na jamaa aliyekuwa ananifukuzia; wakati hatukuwa lovers. Namuuliza nini; anasema jamaa player huyu hakufai. Inahuu   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  This is deep! And I dig it as well.
   
 15. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Yap ! Punguzen matamanio waweza kuwa nao bila mapenzi.
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  urafiki wa paka na samaki huwa ni wa mashaka sana....
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Nani paka nani samaki?
   
 18. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hakuna kitu kama hicho mwanaume na mwanamke ni kama sumaku na chuma mtakamatana tu
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hakuna ugumu, matamanio yenu tu.
   
 20. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Bila shaka wazungu wana wivu, mara nyingi wanapigana kwenye kumbi za starehe na mitaani kwa wivu, tafauti ni jinsi ya kuheshimu urafiki mpaka uliopo baina yao. Kwa nini usimchukulie rafiki yako wa jinsia tafauti kama ndugu yako, harimu yako? Ninakubali kuwa, iwe mwanamke au mwanamume, mmoja anapokuwa mbele ya wa jinsia tafauti "anaweza" kuwa na hizo feelings za kibiolojia, anaweza kuona wivu, na kama ana hisia za mapenzi, mapenzi yake yataishia kuwa ni "Platonic, Impossible, Prohibited Love", kwa ajili ya heshima na kujali urafiki. Katu huwezi kuuamua kuupoteza urafiki huo kwa ashki za kupita.
   
Loading...