I am flying without wings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I am flying without wings

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Binti Magufuli, Nov 28, 2011.

 1. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.

  Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.

  Muwe na wakati mwema.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280

  Hongera zako....wengine wana fly with wings....
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wote tulianzia huko huko tena tulifly bila ngozi na mifupa mitupusasa tuna manyoya hata kufly tena hatuwezi enjoy kulia kwaja
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahahha. . . Smiley bana.Unamharibia mwenzio "honeymoon period " yake ujue.
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naomba :flypig::flypig::flypig: with wings na wewe.....
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naaahh. . .
  Labda kama unataka ku"walk without legs".
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hakijaharibika kitu lizzy ale maisha
   
 8. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Samahani kwa wale ambao hawaoneshwi mapenzi, najua ni kwa jinsi gani uzi huu unawahuzunisha kwani mnatamani laiti mngelikuwa ninyi, poleni sana. Ila kwa kweli ninaenjoy kupendwa sio siri
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Heheheh. . unarusha madongo ehhhh?
  Angalia unaowarushia wasije wakaishia kukucheka siku ukirudi kulilia mapenzi yalivyokutenda.
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hatujabisha mrembo enjoy siku ukileta waraka wa kilio hapa tupo kukusaidia pia kamua mwana kamua malavidavi
   
 11. Nakadori

  Nakadori Senior Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  !!!!!?????
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  wote huwa wanaanzia kwenye ku fly withouts wings....ishu ni muda gani mtatumia ku fly..!??
   
 13. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Dada/kaka utumie muda huu unitakie heri mwenzako lakini sio kunipa maneno kama hayo, ukweli nina raha sana isiyoelezeka kwa maneno
   
 14. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Makubwa
   
 15. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angalia isije kuwa furaha ya muda....:A S 465:
   
 16. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera mpendwa, muombe sana mungu yaendelee hivyo yakija kubadilika utaiona dunia chungu
   
 17. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  hongera mwa hego.Ila angalia asikupeleke juu sana kwa maana ukidondoka utaumia sana.i know sana haya mambo
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  bila shaka ni mpenzi mpya huyo.......................kaa mkao wa matanga tho sio leo wala kesho
   
 19. Nakadori

  Nakadori Senior Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35

  Watu kwa kuwaombea wenzenu mabaya hamjambo, shame on ur face
   
 20. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha kile kisa cha primary, ni kobe na ndege gani wale waliruka pamoja hadi karibu na jua kumbe kobe hana wings isipokuwa manyoya na nta! Hongera dada... enjoy your good-time to the fullest... Wekeni bidii ku-sustain huo utamu... Hebu subiri kwanza hivi hiyo ni halali au mko kimjinimjini zaidi?! Kama ni kimjinimjini nirudishie wishes zangu nzuri nilizokumiminia lol.
   
Loading...