Matumizi ya huyu rafiki yangu wa kike yananishangaza.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari za wakati huu wananchi wenzangu.ebana,nina rafiki yangu wa kike{urafiki wa kawaida}ambae bahati mbaya ye hana bumu so anategemea kila kitu toka kwa wazazi wake,cha kushangaza huyu bidada ana matumizi ya ajabu sana afu akiishiwa me ndo wakukopwa,mfano mwezi wa kumi 2lvofungua chuo kaja na tsh 1.3milion,akatakiwa alipe ada ya semister 1 ambayo ni lak 6.5 bt cha kushangaza amelipa lak 4.5 hzo zngne anajua ye mwenyewe alipo zipeleka kwa maana hadi sa hz ananiambia hana hela hata ya kula na anaogopa kumpiga kizinga mzee wake,mwanzo nilimshauri hzo pesa ka atashndwa kukaa nazo ts btr aweke kwenye a/c yangu atleast nimsaidie kumuwekea bt akapotezea..sa wadau huyu rafiki yangu nimsaidiaje tena kama hadi umri huu hajui kujibudget?
 
huko ktk black
ni vema alivokataa mana wajanja wengi cku izi kaka
mpotezee mi naona
 
Sasa yana kushangaza vipi wakati huyajui hayo matumizi yake?

Ungekua unajua analewea au anaishia kununua pamba tu ndio ningeelewa mshangao wako.
 
Utoto unamsumbua,coz anajua pa kwenda kuchukua zipo,
Ww mkopeshe akienda kuchukua si atakurudishia tu.
 
Soma dogo, acha kuwaza mambo yasiyokuhusu!!!!!!!
Km huyo dada hana hela ana uhakika wa kupata nyingine yawezekana yeye ni familia bora, kwao huwa haziishi na ndio maana anafuja hela!!
Akijua uchungu wa hela, maisha ni nini!!!! na akianza kutafuta hela yeye mwenyewe ndio ataacha.
 
Back
Top Bottom