Zawadi za harusi balaaa!!!!!!!!!!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Kuna maharusi walipokuja kufungua zawadi zao wakakuta kuna zawadi moja ina hirizi ambayo kwa maelezo yao ilikuwa inapumua, Wakaita watu na kuipeleka kwa mchungaji, wakafanya maombi na kuishia kuichoma moto. Maharusi raha ya ndoa imepotea tena. Kwasasa wanajaribu kuangalia mkanda wa video wakati wa zawadi ili wajue nani aliyetoa ile zawadi.

Haya jamani wale masingle kuweni makini na zawadi za harusi siku ya harusi yako.
 
Na ndio mana siku hizi mc huwa anatangaza kila mtu afungue zawadi yake kabla ya kuipeleka kwa maharusi..mambo ya kwny maboksi/gift paper yamepitwa na wakati.
 
mmmh...mmmh....mmmh....!!!kazi kweli kweli....ndo maana bora kuwe na utaratibu zawadi zinazowekwa kwenye maboksi ziwe zinafunguliwa hapo hapo ukumbini...au ka vipi ukumbi unapigwa security cameras kabisa ili kudaka kila tukio la ukumbini .....la sivyo ipo siku watu watafungiwa chatu kwenye boksi la zawadi...
 
Kuna waliopata zawadi ya nanasi lililomenywa likiwa limewekwa ndani ya box la zawadi! Duniani kuna mambo!
 
Kuna ndugu yangu alikutana na kimba la mavi lenye ujazo wa kama kilo moja hivi.

Si kila zawadi huwa nzuri hasa za harusi maana maadui pia huwa wapo katika kujipoza na machungu ya kukosa.
 
Kuna ndugu yangu alikutana na kimba la mavi lenye ujazo wa kama kilo moja hivi.

Si kila zawadi huwa nzuri hasa za harusi maana maadui pia huwa wapo katika kujipoza na machungu ya kukosa.
mmh.....
 
iliwahi kutokea kwa mdogo wangu alikuta toilet paper na hirizi dunia ina mambo kweli afadhali zawadi ziwe zinaonyeshwa
 
Njoo ufanyiwe maombi, Kwa jina la yesu, njoo ufanyiwe maombi, Ukiombewa tatizo lako ni dogo tu.....!
 
Bora kukataa zawadi tu, maana si lazima.
Tena serikali ipige marufuku na michango ya harusi
Siku hizi imekuwa kama deni yaani unanuniwa na kudaiwa na kubipiwa usiku kucha
Bora tuchangie ada za shule

Kajamba nani naye anataka reception Kempisky afu mwezi wa asali Torabora kwa nguvu ya michango tu.
 
Kuna ndugu yangu alikutana na kimba la mavi lenye ujazo wa kama kilo moja hivi.

Si kila zawadi huwa nzuri hasa za harusi maana maadui pia huwa wapo katika kujipoza na machungu ya kukosa.
Hahahahahahahaaaaaaaa......, uhahahahahahahahhahahahaa...., kwiiiiii kwiiiiii kwiiiiiiii

Hahahahahahahahahahaaaaaa
 
kwiiiiii kwiiiiii kwiiiiiiiiii..., mchwiiiiii! Haki ya mungu.., hv unajua kuna bnadam ni mboga kichwani! Asa mavi mwenzie ayapeleke wapi...! Mweeeeh!
 
Kuna maharusi walipokuja kufungua zawadi zao wakakuta kuna zawadi moja ina hirizi ambayo kwa maelezo yao ilikuwa inapumua, Wakaita watu na kuipeleka kwa mchungaji, wakafanya maombi na kuishia kuichoma moto. Maharusi raha ya ndoa imepotea tena. Kwasasa wanajaribu kuangalia mkanda wa video wakati wa zawadi ili wajue nani aliyetoa ile zawadi.

Haya jamani wale masingle kuweni makini na zawadi za harusi siku ya harusi yako.
Ilikuwa wapi hiyo?
 
hahhaaaaaaaaaaaaaaaa mjini shule babuuuuuuu
maisha kutafuta na si kutafutana
si wapatii nega mana kila mtu anamuwaza x wake hapo kama ni yy nn kaamua kuniumbua loh!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom