Tutafika kweli kwa hali hii.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafika kweli kwa hali hii....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MR. DRY, Nov 30, 2011.

 1. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sijui ni maisha au nini!
  Style za mahusiano siku hizi yanaenda kinyume nyume.

  Kijana(ME) anataka aliyemzidi umri(JIMAMA/SUGARMUMMY) ajitimizie mahitaji yake.

  Kijana(KE) anataka JIBABA(BUZI).

  kwa hawa watu wazima unakuta wametengana au wapo na wenza wao.
  Hivi makamu/umri aina wameisha?
  Naweka.nukta
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mmomonyoko wa maadili uliochangiwa na utandawazi!
   
 3. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tamaa ya mambo makubwa kuliko uwezo wao,
  Kuendekeza njaa za kijinga na kutotaka kuwajibika na kufanikiwa kwa nguvu na jasho lao,
  Kuiga na kufuata mikumbo hasa kwa watu maarufu au kutafuta umaarufu,
  Kuendekeza tamaa ya ngono,starehe na anasa,
  Hofu ya mungu imepungua sana.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  sist upo?
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Lakini ukifuatilia utaambiwa hata zamani ilikuwa hivyohivyo.
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Zamani ilikuwa ni wanaume wazee wanawaoa mabinti wadogo. sasa vijana wamekasirika wanalipiza kisasi kwa kuwatoboa mama zao!
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Aisee kweli zamani ilikuwa ukienda makanisani, bwana harusi uso umechoooka, bi harusi kibinti. Ukiuliza nini wanasema hali mbaya ya uchumi, vijana wadogo hawataki kuoa.

  Kwanza naona sasa hivi mambo yamebadilika, watu wanaoana almost same age group.

  Ila kwenye uzinzi ndo wanazini na wa umri mkubwa sana zaidi yao; sugar mummies na sugar daddies; si kwenye ndoa.

   
 8. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mkuu sio uzizi, nafikiri ni maumivu(hasira) y/za mapenzi ndo yanasababisha yote na kuona dogodogo au kubwa lao ndo kipoozeo cha moyo.nukta
   
 9. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mabadiliko haya kama mtu ukiyachukulia kwa staa hutoyumbishwa kwa lolote.nukta
   
 10. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwamaana hiyo vijana wa sasa tunapenda kulelewa?.nukta
   
 11. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kwa kifupi unakuwa ni ulimbukeni sio.nukta
   
Loading...