Kahaba pekee ndie anaelala na mwanaume bila kumpenda!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kahaba pekee ndie anaelala na mwanaume bila kumpenda!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  kama umezoa kulala na mwanaume bila kumpenda jua wewe ni kahaba
  sasa basi kama unaishi na mume ambae umpenddi na unajua huna mapenzi yake
  rudi tu kwenye ukahaba muwachie nduguyo aendelee na maisha yake usimuharibie mwenzio
  maisha tadhaliiiii
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Unamaanisha yupo kifedha zaidi siyo?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  Mungi
  hapo kuna swali tena kule kwetu waanaita fwaraaaaaaaaaaaaaaaa malizia basi
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  MPWA HUYO DOGO NAMPENDA SANA ILA ALIVYOKAMATA KIFUSI KAISAHAU MIZOGA YAKE PALE REGENCY KAMA ALIKUWA ANAISHI TANDALE KWELI MAISHA YAANI MABINTI WA ROSEGARDEN WAKIMWONA KWENYE TV WANASIKIA MIGUUNI KUNAWAKA MOTO ANYWAY NDIO MAANA ALIE JUU MNGOJE KATIKATI[​IMG]
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu huyu jamaa watasubiri sana, hashuki tena! kama umesikia kule home matokeo ya uchaguzi lazima yatatangazwa hata kwa mtutu wa bunduki! in general lazima atashinda!
   
 6. U

  Usiku huu Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kama umezoea kulala na wanawake bila kuwapenda bali kuwatamani, nayo imekaaje?
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaaa !
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280

  hayo ni MAHABA MPWA!!BADO NALITAFUTIA JINA LAKE PALE BRELA LL COME SOON
   
Loading...