Aliniacha,leo mwenyewe anataka kunirudia!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari za wakat huu watanzania wenzangu!!!ebana,niliwahi kuwa na galfrd wangu tangu tukiwa primary bt mwaka jana mwezi wa 7 alinipga kibuti kwa kisingzio cha kwamba ,eti me ni kicheche{kitu ambacho kwa wkt huo hakikua cha kweli kabisa},wel me nkajitahidi kumuelewesha na kumbembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake ule ule,ilifikia wkt mpaka akaniweka kwenye ignore list ktk simu yake{yan nikimpgia akawa hapatkan hewan,ili kuepuka usumbufu wangu},bac me nkaona nisiendelee kuwa kero katka maisha yake,nikaamua kumpotezea ka alvonitaka nifanye,ila katika inteligensia niliyokuja kuifanya baadae,nligundua kwamba alikua anamshkaji wake yuko anasoma india,wel maisha yakaendelea,me nkapata mmanzi mwingne ambae niko nae mpaka sasa,cha kushangaza,yule mmanzi ameanza kunisumbua tena eti anataka turudiane,anadai wkt ule she was fool na coz alikua 1st yr chuo anadai na utoto nao ulchangia,me nkaona hzo sababu zake sio za msing sana kwangu,nikaamua tena kufanya uintelijensia wangu na nikagundua kwamba yule mchzi wake wa india amemtema so ndo maana kaamua kujirudisha kwangu kistyle,kosa nililofanya ni kwamba ameniulza ka nina gal kwa sasa nkamdanganya sina,sasa amesema before xmass atanifuata dar akitokea iringa anakosoma.sa wakuu nauliza huyu mmanzi nimchakachue cha mwisho mwisho afu nimfungie vioo jumla au nimfanyaje,maana me simuhtaji tena na ninataka nitumie friendly language ya kumueleza kuwa simuhtaji tena??over
 
Za za ukweli na uwazi.Mpe ukweli mwambie asinge mbele.Ukimchakachua wa sasa akigundua utakosa vyote
 
Una uhakika utamchakachua cha mwisho?anaweza yeye ndo akakuchakachua usimjue hata uliye naye sasa,kwani kumuambia its over bila kumchakachua inakupunguzia uanaume wako?nyie ndo mnatengeneza wanawake waliojaa visasi mioyoni,
 
Mwambie tu ukweli uhusiano wenu basi tena na pia ushampata mwingine, haina haja ya kulala nae.
 
Kwani dhamira yako inasemaje kabla hujapewa jibu na mtu? kama ulimpenda kiukweli na akakutenda akakumiza moyo wako vyakutosha,ametokea mwengine kakupa bega lake ulie na akakufuta machozi leo unajidai hujui kutafautisha asali na shubiri,,,, ebu kua Mwanamme mwenye msimamo asikupoteze mda kwa ufupi anakufanya weye ***** ushazowea kula mizoga.
 
Naona maoni mengi umpige cha mwisho na mi sina budi kukushauri kula penzi takatifu la mwisho afu piga chini
 
Habari za wakat huu watanzania wenzangu!!!ebana,niliwahi kuwa na galfrd wangu tangu tukiwa primary bt mwaka jana mwezi wa 7 alinipga kibuti kwa kisingzio cha kwamba ,eti me ni kicheche{kitu ambacho kwa wkt huo hakikua cha kweli kabisa},wel me nkajitahidi kumuelewesha na kumbembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake ule ule,ilifikia wkt mpaka akaniweka kwenye ignore list ktk simu yake{yan nikimpgia akawa hapatkan hewan,ili kuepuka usumbufu wangu},bac me nkaona nisiendelee kuwa kero katka maisha yake,nikaamua kumpotezea ka alvonitaka nifanye,ila katika inteligensia niliyokuja kuifanya baadae,nligundua kwamba alikua anamshkaji wake yuko anasoma india,wel maisha yakaendelea,me nkapata mmanzi mwingne ambae niko nae mpaka sasa,cha kushangaza,yule mmanzi ameanza kunisumbua tena eti anataka turudiane,anadai wkt ule she was fool na coz alikua 1st yr chuo anadai na utoto nao ulchangia,me nkaona hzo sababu zake sio za msing sana kwangu,nikaamua tena kufanya uintelijensia wangu na nikagundua kwamba yule mchzi wake wa india amemtema so ndo maana kaamua kujirudisha kwangu kistyle,kosa nililofanya ni kwamba ameniulza ka nina gal kwa sasa nkamdanganya sina,sasa amesema before xmass atanifuata dar akitokea iringa anakosoma.sa wakuu nauliza huyu mmanzi nimchakachue cha mwisho mwisho afu nimfungie vioo jumla au nimfanyaje,maana me simuhtaji tena na ninataka nitumie friendly language ya kumueleza kuwa simuhtaji tena??Kemege bila kondom, mpe mimba halafu ikatae.
 
Kamtie vidole tu,halafu akitaka ume mwambie uanze matakon,hapo ndo utajua kama anakupena au la!
 
Chakachua nichakachue.

Jiheshimu, muheshimu uliyenaye sasa kwani intelijensia niliyonayo ni kuwa yule msomi wa India kampiga kibuti huyo demu baada ya kumshikisha miwaya. Kwa heri.
 
Back
Top Bottom