Mniruhusu nije na series za makabila ya kitanzania!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Nimeamua kuanza kuandika series za aina mbali mbali ya jamii kama vile, syansi, elimu, mila na makabila mbalimbali yaliyopo tanzania. Hata hivyo naomba wanajf mniruhusu kufanya hivyo.

Nikipata 'go ahead walau za 'members' wasiopungua 15, ntaanza kutoa hizo series mara baada ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa TANGANYIKA.

Naomba ruhusa yenu!
 
usilete ukabila wewe mamaya za msudu! acha kabisa kwan najua kutakuwa kuna mambo ya kujisifia na kuponda.
CHANGE MADA!
 
Ilishajidhihirisha humu ndani we jamaa hupendi kabila flani, ishia hapo hapo..!
 
ebu leta hiyo tuone uwezo wako

Idea si mbaya sana.
Wasiwasi wangu ni kutoa taarifa bila kufanya utafiti kwanza. Vema ungetuambia umejiandaa vipi ili taarifa isiwe na upotoshaji.
Nasema hivi kwa sababu nimekuwa nikisikia vitu vya ajabu ajabu kuhusiana na makabila kadhaa ambayo mimi nikekaa visivyokuwa na ukweli wowote.

Siku moja nilikuta jamaa fulani akiwasimulia watu kuhusiana na mila za kabila langu kwa namna ambayo watu wote waliokuwapo pale waliamini, lakini kiukweli ulikuwa ni uongo mtupu. Nilipomtafuta baadaye kumuuliza kama yeye ni wa kabila lile, aliishia kusema tu kuwa alisimuliwa na jamaa yake aliyepata kukaa kule!

Sasa hiki ndicho sipendi kuona tunaletewa hapa JF. Kifupi, kama hujafanya utafiti ni bora ukakaa kimya tu. Lakini pia naona itakuwa ngumu kufanya utafiti ktk makabila zaidi ya 160, mi naona tu ungeachana na jambo hili, maana mwisho wa siku utatuletea uongo tu.
 
Go ahead,uanze na kabila lako

yap, ntaanza na kabila langu wala usijali. wasiwasi wangu kwa hao wengine ambao hawatapenda kuona ukweli wa mila na desturi za makabila yao kuanikwa hadharani kama sehemu ya historia au uhalisia wa mambo ya kabila lao
 
usihofu mzee. haitakuwa rahisi kuandika historia ya makabila yote ya kitanzania. Hapa history department ya UDSM kuna research nyingi zimefanyika na taarifa zipo za kumwaga, sioni wasiwasi wako unatokana na nini. Kama ni mvivu wa kujisomea siku zote utakuwa mtu wa mashaka, lakini kama upstairs kuko updated huhitaji kuwa na hofu kama hii yako. Dunia hii bado inakua na taarifa zipo nyingi sana kwa anayejisomea
 
idadi ya kura za ndiyo imefika nne mpaka sasa, bado 11
 
yap, ntaanza na kabila langu wala usijali. wasiwasi wangu kwa hao wengine ambao hawatapenda kuona ukweli wa mila na desturi za makabila yao kuanikwa hadharani kama sehemu ya historia au uhalisia wa mambo ya kabila lao

Mkuu hicho unachoita ukweli, hauwezi kuwa ukweli ni hadi ufanye utafiti. Na utafiti ni strategic plan, sio kukaa sebuleni Tandahimba halafu unaelezea ukweli kuhusu wajaluo wa Tarime. Wasiwasi wangu hapa ni kwamba wewe umekuja na wazo, tena zuri tu, lakini hujatuambia umejiandaa vipi ili kuhakikisha kuwa taarifa yako itakuwa haina hata chembe ya uongo.

Upi mpango-mkakati wako? Naamini unafahamu idadi ya makabila tuliyonayo. Naamini hapo ulipo unaweza kuyaorodhesha yote kama ukitakiwa kufanya hivyo (ambalo ni jambo zuri angalau linaweza kutuonyesha ufahamu wako juu ya makabila yote).

Vininevyo mkuu GT lazima atatilia mashaka uwezekano wa hiki unachotuahidi hapa.
 
usihofu mzee. haitakuwa rahisi kuandika historia ya makabila yote ya kitanzania. Hapa history department ya UDSM kuna research nyingi zimefanyika na taarifa zipo za kumwaga, sioni wasiwasi wako unatokana na nini. Kama ni mvivu wa kujisomea siku zote utakuwa mtu wa mashaka, lakini kama upstairs kuko updated huhitaji kuwa na hofu kama hii yako. Dunia hii bado inakua na taarifa zipo nyingi sana kwa anayejisomea

So, una wasiwasi na upstairs kwangu?

Kweli wewe ni mtafiti mzuri, kama utafiti wako utakamilika kwa kila kitu hapo Hist. Dep UDSM, bravo.
Kimsingi sikatai wazo lako, il kama GT ninaona umuhimu wa kuhoji uwezekano kwa zoezi hili na usahihi wa outcomes zake.
 
RUKSA.

Tupe ilmu, sidhani kama kuna ataepinga wazo zuri kama hili. Ujitayarishe kujibu maswali tu.
 
Mkuu hicho unachoita ukweli, hauwezi kuwa ukweli ni hadi ufanye utafiti. Na utafiti ni strategic plan, sio kukaa sebuleni Tandahimba halafu unaelezea ukweli kuhusu wajaluo wa Tarime. Wasiwasi wangu hapa ni kwamba wewe umekuja na wazo, tena zuri tu, lakini hujatuambia umejiandaa vipi ili kuhakikisha kuwa taarifa yako itakuwa haina hata chembe ya uongo.

Upi mpango-mkakati wako? Naamini unafahamu idadi ya makabila tuliyonayo. Naamini hapo ulipo unaweza kuyaorodhesha yote kama ukitakiwa kufanya hivyo (ambalo ni jambo zuri angalau linaweza kutuonyesha ufahamu wako juu ya makabila yote).

Vininevyo mkuu GT lazima atatilia mashaka uwezekano wa hiki unachotuahidi hapa.

Usipost for the sake of posting, matokeo yake unaongelea jambo ambalo wenzio huko juu wameshalisema na majibu yake yameshatolewa. Tuliza akili, soma walichoongea wenzio ndiyo uje na maneno muzuri.

Umenikumbusha vikao vya harusi, mtu anaongea, mwenyekiti anauliza kama kuna mwenye hoja mpya, mtu anapewa nafasi na yey anachangia kile ambacho kimeshaongelewa.

Sisi wabongo kwa kukurupuka!
 
So, una wasiwasi na upstairs kwangu?

Kweli wewe ni mtafiti mzuri, kama utafiti wako utakamilika kwa kila kitu hapo Hist. Dep UDSM, bravo.
Kimsingi sikatai wazo lako, il kama GT ninaona umuhimu wa kuhoji uwezekano kwa zoezi hili na usahihi wa outcomes zake.

haiwezi kuwa kwa makabila yote, kamwe. Nna mambo mengi ya kufanya bwana, isitoshe am not an academician to spend whole time speculating on more than 120 tribes. I will be crazy!
 
Back
Top Bottom