Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Dec 2, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  @arachaga, baba mngoni,mama mchagga

  inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia.

  Wanaume acheni uvivu, kama ni pumzi basi fanyeni jogging kidogo kila jioni at least three times a week muwe na afya za uhakika
  Jitahidini mkiscore 60 tutawarank 90 ila sio mpate 20 mwombe 80.

  Mnashindwa hata kuchezea maziwa mnategemea nini??? wikiend hiyooo kajiangusheni kama kawa

  Yaan tokea mwanaume anunua gari hajawai hata siku mmoja kwenda uwanjani kufanya zoezi (kukimbia aka jogging) sasa anategemea nini????????????
   
 2. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG]hii ya jukwaa la wakubwa lol![​IMG]
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umekuwa kuku sasa?
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahah. .. .Marytina bana.

  Haya ngoja wahusika waje kujibu mashtaka.
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wamezoea kukosoa na si kukosolewa
  hapa naikumbuka sredi ya LIZZY :Kwa nini watu hawapendi kukosolewa
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  leo ntakomaa nao yaani wanasredi kibao za kuponda, wana hadithi kibao mara hapa nimfanya vile ,hivi kumbe upepo
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  oops! ngoja wenyewe wakuporomokee huko!!!!!!1:A S-coffee::behindsofa::car:
   
 8. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njoo kwangu nikukokomeke kama utatamani kusosomolewa tena
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bora umetoa dukuduku lakini lakini ukishazoa wali nyama unahitaji na biriani siku moja moja..
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wengine tunanyimwa kuyachezea eti yatachacha
  Wengine wanatukataza eti yatatepeta nakuwa kandambili
   
 11. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na nyie sometimes huwa hamjitumi
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwambie basi na mr wako inaonekana ni mvivu balaa hadi unafikia kusema hivyo :lol:
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  endelea na utani wako kila siku mwenzio anatoka kapa
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  some are my brazers siwaogopi
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  pls will tell this your beloved mchumba/mkee????????????
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  duh!!! hii kali

  ila ukukuruke sio unakuwa na kimwili kama chako na game unashindwa
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yamekua haya! Kwaheri
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo hua wanadhani wanajua kwahiyo ukimkosoa ni kama umemtukana vile.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kila mwanamke anavionjo vyake bana kila ukikukuruka ndo hivyo unapewa masharti eti nisimpapase kalio
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unataka mpaka tuteguke viuno????????na kushindwa kwenda makazini?????????????
   
Loading...