Kuna faida za nyumba ndogo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna faida za nyumba ndogo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by HorsePower, Dec 2, 2011.

 1. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye mahusiano. Naomba maoni yenu maana naona wengi wananyumba ndogo despite ya matatizo haya niliyoyaeleza.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,616
  Likes Received: 21,202
  Trophy Points: 280
  1.unazijua faida za pombe?
  2.faida za smoking?
  3.faida za kuwa na timu ya mpira unayoshangilia?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Mmmmh, hiyo ni ventilation shaft, sijui unanipata sasa ngoma ikicollapse na hakuna ventilation shaft utaipata.

  Unakumbuka ile story ya wachimbaji walofukiwa Chile, bila ventilation shaft ilikuwa imekula pande yao.

  Au emergence door.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Inajua kufariji kuliko nyumba kubwa
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  HP,
  Samahani kama nitakukwaza,
  Umri wako unakaribia ngapi?
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna uhusiano kati ya umri na nyumba ndogo? Naamini mwenye nyumba ndogo yoyote ana umri wa kupambanua na kuchanganua mambo!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Umri unahu sana kwenye nyumba ndogo na ana maana sana hapo.

  Watu wazima wote tunajua kazi ya nyumba ndogo ila wadogo wengi huwa hawajui, ila kama ni mdogo ukikuwa utaacha.

  Ventilation shaft inahusu sana

   
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,136
  Likes Received: 1,517
  Trophy Points: 280
  "Hivi topic za nyumba ndogo haziwezi kupumzika?" (Lizy, 2011) Naunga mkono Hoja. Am fed up na hizi topic jamani, mnapenda kutuweka wenzenu roho juu.

  Tuongelee mambo ya kuboresha mahusiano na tupunguze kuongelea vitu haramu
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Haramu zote tamu, afu nyumba ndogo zinatuongezea akili ya kutafuta hela kwa ajili ya nyumba ndogo na kubwa.

  Zinatufanya tunapumzika roho na mwili, akili na maini tukitoka hapo tunajenga nchi kwa amanai.

  Kwa hiyo haziwezi pumzika hata siku moja

   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Still confused, ina maana wenye nyumba ndogo ni wazee pekee??
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Hii topic mpaka yaleta malue lue jinsi ilivochosha.... Genuinely....
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Aiseee. . .
  Kwahiyo na wewe unayo??

  NK mi mwenyewe zimenichosha japo sina cheo cha nyumba kubwa. . .sijui wewe NK orijino zinakuboaje.
   
 13. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,505
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kila dhambi aifanyayo mwanadamu ni nje ya mwili wake isipokuwa dhambi ya uzinzi, nyama ni ileile ila bucha ndo tofauti, sasa kipi unachofata nje ambacho mkeo hana, watu dizaini yako huwa mnanichefua sana roho coz mkipata hizo nyumba ndogo mnasahau hadi mke na watoto. Nakushauri uachane na huo mpango wa kishetani.
   
 14. C

  Chepeti Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono kongosho,nyakati hizi ukishakua na mume ujua swala la mke mwenza huwezi kuliepuka,hayo mambo hata kwetu yaaaaaapo
   
 15. C

  Chepeti Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unaeongea hivi inaonyesha ndio unatisha kwenye hili,mungu ndie anayekuona
   
 16. C

  Chepeti Member

  #16
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tukubali tukatae nyumba ndogo zipo,bora hili lijadiliwe ili tujue huko nje ni kitu gani wanafuata,na sisi tulio ndani tufanyaje,tunahitaji maada zaidi za nyumba ndogo please,boss upo,
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Nyumba ndogo utazijuwa tu... Wala hazijifichi kwa jinsi zinavyopenda kujisifia
   
 18. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Kinachofuatwa nje ni faraja pindi nyumba kubwa inapoboa.. We muulize Fidel80 atakueleza
   
 19. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Nyumba ndogo ni kama DEIWAKA. Deiwaka analeta hesabu kubwa kuliko dereva au konda wa kudumu. Hii hasa ni kutaka kuchukuwa nafasi ya dereva au konda wa kudumu. Kwa kufanya hivyo wewe mwenye mali unaneemeka.... Naifagilia sana nyumba ndogo.
   
 20. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nyumba ndogo huwa hai relax, inajituma kwa kila kitu tena kama ni understanding unakula bata mwanzo mwisho.
  Mimi yangu kila nikifika najiona mpya maana ina mashamsham ya kufa mtu.
  Kwa wale marijali ukikutana na nyumba ndogo ya Kitanga ndio utajua raha ya nyumba ndogo.
   
Loading...